Habari ndugu wana jamvi...nna GF wangu ambae 2po kwny mahusiano takriban miez 7 sasa na kpnd chote hko amekuw akniahid kuwa me ndo mumewe mtarajiwa bt takriban wk mbil zlzopta nlgundua ana mahusiano na boy mwingne na hili nlgundua baada ya kuona mara kadhaa akpgiwa cm na mwanaume mwingne akidaiwa v2 na nlpomuulza GF wng alkil kudate na uyo m2 and nw amemua kumuacha uyo mwanaume kwa madai kaona hantendei haki das y uyo mwanaume anadai v2 vyake lyk pesa alzokula...nlpandwa na hasira nkajkuta nampga bt ckupenda kumpga aftr dat aliapa kutorudia tena huo ujinga coz ameona amejdharirisha zen akahamia kwangu kabsaa coz b4 2lkuw 2naish kla m2 kwake so kwangu alkuw anakuja wknd2....Naumia xana nkfkria hk k2 n' nw nmeapa kuto oa kabsaa sana sana nmzalshe zen ni deal na mtoto maisha yangu yote coz nahofia kutendwa tena mana sina iman na mapnz aftr ol 2navyoish umu ndan ni kama kaka na dada coz sina interest nae ata kdogo na naogopa kumtmua coz alshatshia kujiua...NAOMBENI USHAUR WENU..."kazi njema"