Amejitokeza adui wa nne (4) wa maendeleo

HAKUNA

Senior Member
Mar 12, 2012
133
66
Mwalimu Nyerere alisema kuna maadui watatu (3) wa maendeleo ambao ni ujinga, umaskini, malazi,....katika kizazi cha sasa ameibuka adui mwingine - MAPENZI......!!!!!, refer KANUMBA death.

> JE KUNA UKWELI KATIKA HILI?
> TUFANYAJE KUMPINGA ADUI HUYU, AMBAYE SASA AMEFIKIA HADI HATUA YA KUCHUKUA UHAI WA WAPENDWA WETU.
 
Adui wengine ni option sasa ukiona mapenzi yanakuletea hasara kuliko faida unayang'ang'ania ya kazi gani?
 
hao maadui watatu wamepata mzazi nae ni ccm.
kwa hiyo tunasema maadui watatu wameunganishwa na ccm na sasa tuna adui mmoja mwenye pembe nne,mikia 40,vichwa vitatu na suluhu yetu ni sanduku la kura 2015.
 
Usimsingizie Mwalimu,katika maneno yake hakutaja malazi(shelter) kama ni adui.Adui aliyetajwa hapo ni maradhi
 
Back
Top Bottom