Yale yale tunayosema kila siku. Ulokole unatumika kama kivuli cha kujifichia. Ili ndoa yake iwe na amani, jamaa atafite mwingine. Atashukuru baadaeMwanamke anamuamini mchungaji wake kuliko ata mume so mwamba achagu moja kusuka au kupiga afro
Mkuu ukweri ndo huo na unakuta hapo Siri na madhaifu ya jamaa mchungaji anayajua,tuishi nao kwa akiliYale yale tunayosema kila siku. Ulokole unatumika kama kivuli cha kujifichia. Ili ndoa yake iwe na amani, jamaa atafite mwingine. Atashukuru baadae
AmakamatisheJamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.
Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema anampenda sana huyo msichana na msichana anampenda jamaa sana kiasi kwamba ameshawishika ikiwezekane aje kuwa mke...
Huyu jamaa yako ni mjinga na mpumbavu kwa 100%.Jamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.
Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema anampenda sana huyo msichana na msichana anampenda jamaa sana kiasi kwamba ameshawishika ikiwezekane aje kuwa mke...
Sio mara ya mwisho hio wewe emu acha kushikwa kichwa huyo yuko kwenye muendelezo hakuna mwisho hapo, shtukawamefanya na mchungaji kama miezi mitatu iliyopita baada ya ibada ofisini kwake
Hakika...Huyo jamaa yako au Kama ni wewe mwenyewe umekuja kwa mgongo wa nyuma,ningekuwa Mimi nisingetoa ushauri wowote.
Mambo ya Mapenzi ya watu ukijifanya baba ushauri unakuja kuonekana snitchi na mchawi wakati wepenzi wawli waliogombana wakipatana. Wapenzi waliogombana wakipatana huwa wanapiga Sana umbea wa kuwateta watu waliosuruhisha ugomvi,wale waliokuwa wanakaza muachane au umuache moenzi wako huwa mnasimangwa na kutukanwa Sana kitandani.
Maneno yangu ni mafupi tu Kama Smart911 . Mambo yao waachie wenyewe.
We jamaa utakuja pigwa na chuma kizito sana, ngoja nipost kuhusu hili nine comments za watotoUkweli usiosemwa ni kwamba wake za watu wengi wanamegwa na wachungaji. Tena kiulaini mno.
Ila Kuna kosa ndugu yako kalifanya...
πππππamekuwa akimlazimisha tu kufanya hivyo japo yeye hapendi na amefanya nae kama mara tano tu