Amefariki Magufuli, amekuja Hichilema

Amefariki Magufuli, amekuja Hichilema

Kumfananisha HH na magufuli, siyo haki hata kidogo. Sina uhakika kama HH naye ana double standard kwenye uongozi/utawala wake kama ilivyokuwa kwa huyo mwingine.

Double standard siyo poa hata kidogo. Hawa unawatumbua kwa vyeti feki, yule kipenzi chako unamuacha!

Hawa unawabomolea nyumba zao kwa kujenga kwenye hifadhi ya barabara, wale wa kule unawaacha!

Vijana wako wanapiga madili ya kutisha ya ufisadi, wale kule unawakamata kwa makosa hayo hayo! Wananchi wale unawapelekea maendeleo, halafu wengine unawanyima kwa sababu zako binafsi! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Ptwaaa!!! Magufuli hafananishiki na chochote

Tangu lini Shetani akafananishika na binadamu wa kawaida !!!
 
Sikubaliani na dhana yako hii mbovu.
Misaada wanayotoa kiuhalisia siyo misaada na hatuna lazima ya kuitegemea.

Na siyo lazima "kujitenga na wazungu" kama unavyoijenga picha hiyo ndani ya akili yako. Nchi haikubali kupokea misaada ili iendelee kuwa kibaraka wa hao wanaotoa misaada.
Kwani ni lazima "kujitenga" kama unavyokufikiria wewe? Nchi haiwezi kuendelea kupata misaada kwa heshima bila ya kugeuzwa kuwa kikaragosi?

Halafu sijui una maana gani unaposema "--- ni ngumu sana kwa sababu ya msisingi tegemezi iliyowekwa toka mwanzo"; inaonekana huna ufahamu wowote wa mambo, bali unajiandikia tu yanayoingia kichwani mwako.

Ni misingi ipi ya utegemezi iliwekwa toka mwanzo, ili tuwe taifa la kuendelea kuwa ombaomba; historia ya nchi hii unaielewa vizuri wewe?

'Mentality' yote uliyonayo inaonyesha wewe ni binaadam tegemezi sana.
Watu wa aina yako ni watu wa kujidharau sana: "Eti leo hii anajitokeza mtawala eti apigane vita na mabeberu" Hata huoni aibu kuandika ujinga kama huu?

Lakini nakumbuka kama siku zote humu JF mambo yako ni haya haya ya kujidhalilisha kila mara wanapotajwa 'mabeberu'. Sijui kama wewe ni kibaraka wao, au ni sehemu ya mabeberu wenyewe. Jina lenyewe linaelekea kukutambulisha zaidi.
Kijana kalamu nimesoma vzr sana comments yako but truly ime contain zaid personal crushing on me! Ulipaswa unambie.. je tumeanza miaka gan kumtegemea beberu? Na kwann mpaka saa asilimia kubwa kama taifa tunategemea wahisani? Ulipaswa unipe facts answers bout that than criticism!!! Pili nani alikudanganya kua mabeberu wanakupa misaada for smartness? Misaada always ina mashart na linapokuja suala la agenda zao kupitishwa ndipo utapojua ubaya wa kumtegemea beberu!!! Ifike mahali watanzania tuwe wakwel na tuukubali ukwel!! Huwez sema "hakuna tatizo kwa kulificha" Nchi za kiafrika hazina sauti kwa mabeberu na hii yote ni kwaajil ya utegemez. Ukwel usemwe hata kama utatuuma!!!
 
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili.

Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao
Msikilizeni Honorable President Hichilema, Zambia akiwapasha ukweli Mawaziri wake!

Wale msio na bundle za kutosha,usi comment bila kuelewa maudhui tafadhali.

Na kama lugha haipamdi tafadhali pita kimya kimya!

[emoji419]

Umefananisha giza na mwanga, fitu fiwili tofauti
 
Mafisadi, wachawi na vilaza wa vyeti feki ushawachokonoa hapo, yanaweka bando kwenye device zao zote ili waje wakupinge kwa ID zao tano tano waonekane wapo wengi
Kilichomuangusha Bosi wenu ni ile double standard yake.
 
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili.

Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao
Msikilizeni Honorable President Hichilema, Zambia akiwapasha ukweli Mawaziri wake!

Wale msio na bundle za kutosha,usi comment bila kuelewa maudhui tafadhali.

Na kama lugha haipamdi tafadhali pita kimya kimya!

[emoji419]
Achaga upumbavu wewe,Hichilrm sio muuaji kama.lile dubwana lenu
 
Kijana kalamu nimesoma vzr sana comments yako but truly ime contain zaid personal crushing on me! Ulipaswa unambie.. je tumeanza miaka gan kumtegemea beberu? Na kwann mpaka saa asilimia kubwa kama taifa tunategemea wahisani? Ulipaswa unipe facts answers bout that than criticism!!! Pili nani alikudanganya kua mabeberu wanakupa misaada for smartness? Misaada always ina mashart na linapokuja suala la agenda zao kupitishwa ndipo utapojua ubaya wa kumtegemea beberu!!! Ifike mahali watanzania tuwe wakwel na tuukubali ukwel!! Huwez sema "hakuna tatizo kwa kulificha" Nchi za kiafrika hazina sauti kwa mabeberu na hii yote ni kwaajil ya utegemez. Ukwel usemwe hata kama utatuuma!!!
Unazo 'assumptions' za hovyo sana, mojawapo ni hiyo uliyoweka mstari wa kwanza kabisa.
Kiufupi ni kwamba huelewi unachozungumzia. Unachanganyachanganya tu maneno mengi bila ya maelezo yaliyonyooka.

Kiufupi, una 'mentality' ya kiutumwa sana.
Inasikitisha sana, miaka yote hii baada ya kujipatia uhuru wetu, bado kuna watu wenye mawazo ya utegemezi na utwana kama haya uliyonayo wewe.

Aliyekwambia tunakwenda kupambana kwa kupigana na hao mabeberu ni nani kama siyo kukosa fikra pevu!

Kwani ni lazima kupambana nao kukataa utegemezi kwao?

Huwezi kuchukua misaada kwao kwa lengo la kuondoa utegemezi kwao bila kujikomba kwao na kujidhalilisha kama unakokuhimiza wewe?

Mbona tuliweza kuchukuwa misaada yao hiyo mingi tu na kujenga elimu yetu baada ya uhuru 1961, bila ya kuuza utu wetu. Hivi wewe unaielewa kweli historia ya nchi hii, au ni pandikizi tu wa hivi karibuni uliyezamia ndani ya nchi hii?

Ni watu kama wewe, unapewa uongozi katika taasisi muhimu usaidie kujenga uwezo wetu, badala yake unaididimiza taasisi na kuendelea kulifanya taifa kuwa tegemezi kwa hao unaowapapatikia humu!
Ni watu wa aina yako ndio waliotufikisha katika hali mbovu kabisa tuliyonayo leo kama taifa, licha ya kuwa na utajiri wa ajabu sana tuliojaliwa na Mungu.
 
Still hujajibu kwa hoja ya msingi kwa yale niliyosema zaid san umenishambulia personal!! Kijana kalamu nipe hoja ya msingi.. mimi nimesema waz thread inaeleweka kbs kua hakuna supporting niliyoonyesha kua tegemez bali nimeweka waz misingi tegemez iliyowekwa tang mwanzo ndio tatizo!! Leo hii nikisema tunaish na kufanya mambo yetu kwa kufuata mashart ya kimataifa ambayo ni set-up ya mabeberu utapinga? Mrusi, North Korea, china, Iran na wengine baadhi wanaendesha mamb yao bila kujali magharib watasema nn but kwakua ni mataifa wanajitegemea for everything. But sisi bado san kufikia huko cz haikuwekwa misingi ya kujitegemea tangu mwanzo!! Huo ndio msimamo wangu
 
Unaniita "kijana", lakini maandishi yako yanakuonyesha wazi kwamba umri wako ni mdogo sana, kama siyo akili yako kuwa ndiyo imegota.

Maandishi yako hakuna hata moja uliloeleza chochote, halafu unadai umeeleza!
Ni taifa lipi ambalo uliliona dunia hii likijitegemea/tosheleza kila kitu kama unavyodai hapa.

Ndiyo maana ninakuona kuwa huna ujualo.

Hakuna hata hoja moja uliyowasilisha katika maandishi yako, lakini unataka nijibu viroja?
 
Sasa c ulete facts? Why r u attacking me personally? Lete hoja... That's all jenga hoja Nchi yetu haikupaswa kua tegemez na ilikosea nn na nn na kwasaab gan!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom