Amefariki Magufuli, amekuja Hichilema

Amefariki Magufuli, amekuja Hichilema

Hata viongoz wetu wana maslah nao usidanganyike na maneno ya uzalendo mzee ile ni bosheni nakueleza uelewe leo!! Wote wana maslah na mtu mweupe na beberu ni beberu tu hata awe mchina au mrusi!!
Mimi nikiona neno "Bosheni" automatically najua huyu ni mhuni wa Arusha,kitu iko kichwani Olkokolaa!
 
Kumfananisha HH na magufuli, siyo haki hata kidogo. Sina uhakika kama HH naye ana double standard kwenye uongozi/utawala wake kama ilivyokuwa kwa huyo mwingine.

Double standard siyo poa hata kidogo. Hawa unawatumbua kwa vyeti feki, yule kipenzi chako unamuacha!

Hawa unawabomolea nyumba zao kwa kujenga kwenye hifadhi ya barabara, wale wa kule unawaacha!

Vijana wako wanapiga madili ya kutisha ya ufisadi, wale kule unawakamata kwa makosa hayo hayo! Wananchi wale unawapelekea maendeleo, halafu wengine unawanyima kwa sababu zako binafsi! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Hii sura ya pili ya Magufuli iliharibu kila kitu, hata hayo mazuri aliyokuwa na nia ya kuyafanya.

Hata sielewi 'uzalendo' wake ulikuwa ni wa kitu gani hasa!

Kiongozi unajitambulisha kuwa mzalendo, unashindwa hata kuwa na uvumilivu na vijana wadogo tu wanaohoji uhaliali wa Ph.D. yako tu?

Kiongozi, unashindwa kitu gani kumsweka ndani kwa muda tu apowe, mtu kama Tundu Lissu, badala yake unaona ni bora kummiminia risasi kama mnyama pori?

Badala ya kufanya mambo ya kuwaunganisha na kuwaweka karibu raia zako, wewe kama kiongozi ndiye unakuwa mstari wa mbele kuwatenganisha; kwa kuwasagia usiokubaliana nao?

Ndiyo, ningemuunga mkono sana kama angepigania mali asili na utajiri wa nchi hii kuwanufaisha wananchi wake, na kuyashughulikia ipasavyo matapeli wote wanaokwamisha juhudi za wananchi, akiegemea hasa kwenye sheria za nchi, siyo kujiamulia tu alivyoona yeye inafaa.
 
Acha kumfananisha Hichilema na vitu vya ajabu. Umesikia ana kundi la watu wasiojulikana?
Eti Hichilema anafananishwa na huyu kenge anayejianika kwenye miamba
Screenshot_20230201-132543.png
 
Wee kwel kisamv cha kopo!! Nan anajikomba kwa wazungu zaid ya serikali? JPM mwenyew alikua anajua budget yake anategemea wazungu, misaada lukuki anategemea wazungu!! Kujitenga na mabeberu ni ngumu san kwasaab ya misingi tegemez iliyowekwa tang mwanzo!! Eti leo hii anajitokeza mtawala eti apigane vita na mabeberu? 🤣🤣🤣Hiyo wanaweza mataifa makubwa dunian uchina, urusi na wengine!!
Sikubaliani na dhana yako hii mbovu.
Misaada wanayotoa kiuhalisia siyo misaada na hatuna lazima ya kuitegemea.

Na siyo lazima "kujitenga na wazungu" kama unavyoijenga picha hiyo ndani ya akili yako. Nchi haikubali kupokea misaada ili iendelee kuwa kibaraka wa hao wanaotoa misaada.
Kwani ni lazima "kujitenga" kama unavyokufikiria wewe? Nchi haiwezi kuendelea kupata misaada kwa heshima bila ya kugeuzwa kuwa kikaragosi?

Halafu sijui una maana gani unaposema "--- ni ngumu sana kwa sababu ya msisingi tegemezi iliyowekwa toka mwanzo"; inaonekana huna ufahamu wowote wa mambo, bali unajiandikia tu yanayoingia kichwani mwako.

Ni misingi ipi ya utegemezi iliwekwa toka mwanzo, ili tuwe taifa la kuendelea kuwa ombaomba; historia ya nchi hii unaielewa vizuri wewe?

'Mentality' yote uliyonayo inaonyesha wewe ni binaadam tegemezi sana.
Watu wa aina yako ni watu wa kujidharau sana: "Eti leo hii anajitokeza mtawala eti apigane vita na mabeberu" Hata huoni aibu kuandika ujinga kama huu?

Lakini nakumbuka kama siku zote humu JF mambo yako ni haya haya ya kujidhalilisha kila mara wanapotajwa 'mabeberu'. Sijui kama wewe ni kibaraka wao, au ni sehemu ya mabeberu wenyewe. Jina lenyewe linaelekea kukutambulisha zaidi.
 
Kila asiyewafagilia majizi ya kura ya CCM ni mchaga wa Machame?
Ndio hivyo,usitumie mgongo wa CCM, chuki yenu ni kuwekwa kijiweni.
Chuki yenu kuu ni Mbowe kukaa benchi toka bungeni!

Tunawajua na tunawaona na kuwapimia!
Haya mengine blah blah tupu!

Ndugu yenu Lema amromba Chongolo akamlambishe asali!
 
Haha huyo kala dongo ila bado anawatesa.

Tunasubiri hapa nanyie mle dongo tukojolee na kunyer juu ya makaburi yenu.

Mtakufer midomo yenu wazi tuwakojolee kabla ya kuwafukia.
Afadhali unayaeleza bila kuficha!
Yakifa mioyo yao michafu haiwezi kuliwa hata na fisi!
 
Ndio hivyo,usitumie mgongo wa CCM, chuki yenu ni kuwekwa kijiweni.
Chuki yenu kuu ni Mbowe kukaa benchi toka bungeni!

Tunawajua na tunawaona na kuwapimia!
Haya mengine blah blah tupu!

Ndugu yenu Lema amromba Chongolo akamlambishe asali!

Punguza utoto dogo.
 
Endelea tu kukaa mstari wa nyuma utamfahamu aliyepo mbele.
Unanisikitisha sana mkuu 'stroke', kwani sauti yako ni kama ni ya nyikani.

Ukiniuliza mimi, sasa hivi kinachojengwa ni ujio wa sura mpya kabisa ya muungano wa CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe, na vikorombwezio vidogo dogo vya akina Zitto.
Hiyo ndiyo Tanzania Mpya inayokuja. Tanzania ya kuwajenga walionacho, na wanaoweza kunyang'anya chochote wanachoweza kunyakuwa toka kwa wasiokuwa nacho.

Unaniangusha sana siku hizi. Umekuwa kama mtoto yatima, hajui akimbilie wapi.
 
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili.

Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao
Msikilizeni Honorable President Hichilema, Zambia akiwapasha ukweli Mawaziri wake!

[emoji419]
Usimfananishe hichelema na lile rubbish lenu
 
Kumfananisha HH na magufuli, siyo haki hata kidogo. Sina uhakika kama HH naye ana double standard kwenye uongozi/utawala wake kama ilivyokuwa kwa huyo mwingine.

Double standard siyo poa hata kidogo. Hawa unawatumbua kwa vyeti feki, yule kipenzi chako unamuacha!

Hawa unawabomolea nyumba zao kwa kujenga kwenye hifadhi ya barabara, wale wa kule unawaacha!

Vijana wako wanapiga madili ya kutisha ya ufisadi, wale kule unawakamata kwa makosa hayo hayo! Wananchi wale unawapelekea maendeleo, halafu wengine unawanyima kwa sababu zako binafsi! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Wewe hujaelewa maana yahiyo content!
Na huenda hata clip hujaisikiliza sababu ya lugha!
 
Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili.

Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao
Msikilizeni Honorable President Hichilema, Zambia akiwapasha ukweli Mawaziri wake!

Wale msio na bundle za kutosha,usi comment bila kuelewa maudhui tafadhali.

Na kama lugha haipamdi tafadhali pita kimya kimya!

[emoji419]

Huyu hata kwa speech yake anaonekana kuyaishi anayoyasema na anasema wazi kabisa tofauti na Magufuli tuliona bado serikali haikupunguza matumizi makubwa serikalini tuliona V8 na Vx za milioni 500 wakati wa Magufuli,Hichilema is the best President in Africa currently and he will take Zambia to a better position economically.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom