Amechora tattoo begani ya ua nililomnunulia

Amechora tattoo begani ya ua nililomnunulia

🤣🤣🤣🤣 kinyamkela na Mahaba ya maua. Unampa maua amekuwa nyuki?😅 JK😌
 
Umezalisha changu R.i.p in advance 😑
Hivi wewe unajuaje ulizaliwa na changu Kwa maana unaongea kama mama Yako ni mtakatifu heshimu wanawake ndio hao unawanyea wanakuosha wanakuuguza ukiugua Sasa hizo mambo chafu mnatoaga wapi sijui kwanini mnakeraga sana na moderators wanakubali kutoa comments za wapuuzi .

Washenzi sana mbwa
 
Jamaa hana kauli, inavyoonesha ni vitu hapendi ila anakubaliana navyo tu kishingo upande
Sio kauli ukitaka waachane Kisa tatu ,??
Hata yeye anakili sio mjinga mtu ni mjamzito amuache Kisa tatu je kama naye akiolewa ndio hataki Tena hiyo tatu vitu Kama hivi ni real na mtu asitoe tu comment Kisa katoa .

Kumpata tu dada Kwa siku hizi amuoe ni ngumu halafu kapata ndio amkere hapana
 
Wanajamvi hamjambo?
Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa

Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani.

Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini?

Na hajali maneno yeye anaangalia amani ya moyo wake.

Nimesikia tattoos hazikubaliki kidini wala kwenye mazingira ya mtaani hasa kwa jamii iliyostaarabika.

Naanza vipi kumuambia shida tutakayoipata wakimuona ma ustaadh kwenye hali hiyo?

Na ujauzito je hauwezi pata changamoto kutokana na tattoo?View attachment 2493804
Hebu mwambie apige picha akiwa wazi kifuani mpaka kwenye tattoo ndio tutaweza kukupa ushauri mzuri
 
Wanajamvi hamjambo?
Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa

Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani.

Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini?

Na hajali maneno yeye anaangalia amani ya moyo wake.

Nimesikia tattoos hazikubaliki kidini wala kwenye mazingira ya mtaani hasa kwa jamii iliyostaarabika.

Naanza vipi kumuambia shida tutakayoipata wakimuona ma ustaadh kwenye hali hiyo?

Na ujauzito je hauwezi pata changamoto kutokana na tattoo?View attachment 2493804

Duh ma ustaadh wakimuona lazima wakuite pembeni kwanza
Ila hongera ulimfikisha mahala pake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom