kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
- Thread starter
- #41
I fear thatDuh ma ustaadh wakimuona lazima wakuite pembeni kwanza
Ila hongera ulimfikisha mahala pake
I fear thatDuh ma ustaadh wakimuona lazima wakuite pembeni kwanza
Ila hongera ulimfikisha mahala pake
I fear that
Acha uoga🤣🤣🤣Akichora tatoo vaa condom 5
Jitafutie gono.Wanajamvi hamjambo?
Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa
Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani.
Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini?
Na hajali maneno yeye anaangalia amani ya moyo wake.
Nimesikia tattoos hazikubaliki kidini wala kwenye mazingira ya mtaani hasa kwa jamii iliyostaarabika.
Naanza vipi kumuambia shida tutakayoipata wakimuona ma ustaadh kwenye hali hiyo?
Na ujauzito je hauwezi pata changamoto kutokana na tattoo?View attachment 2493804
Kivipi gono?Jitafutie gono.
Jitafutie gono.
Kifo kipo tuKufa kunakujaje hapa kaka?
😂😂Wenye tattoo [emoji23][emoji23][emoji23]
SijakuelewaDuhh tatoo ndio ila lol ako na bitchigene unapangwa mzeee shtuka
Hebu mwambie apige picha akiwa wazi kifuani mpaka kwenye tattoo ndio tutaweza kukupa ushauri mzuri