hana ubavu wa kubandika sura yake hapa................. nani ajinadu kuwa tayari mtumba????????????????
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.
mkuu nafikiri huu uwe utaratibu hapa ss unataka mume tupe na video clip yako realy tuone alafu fasta tuuu unapata majib
Mpwa taratibu. Bigbrother niko kwenye final touches!
kaamua kiukweli kweli kusaka!
mi niliyomwelewa lisa leo kaamka na akili ya malavidavi u kaja hapa kuchezea watu aliki akijifanya ananukuuu..................... visa vingine kwa kuviangalia tu unaona si vya kweli ni vya kutunga tu, hata akikuwekea clip atakuwa kabandua toka mitandao ya porn tu.................... hauna kitu................. angalia thread nyingine za lisa utanielewa naesema nini.......
nawapa pole waliofikia hatua ya kuamini huu usanii..............
humu afu kwa style ya mpaka kutoa namba??? bestlady i doubt
mi niliyomwelewa lisa leo kaamka na akili ya malavidavi u kaja hapa kuchezea watu aliki akijifanya ananukuuu..................... visa vingine kwa kuviangalia tu unaona si vya kweli ni vya kutunga tu, hata akikuwekea clip atakuwa kabandua toka mitandao ya porn tu.................... hauna kitu................. angalia thread nyingine za lisa utanielewa naesema nini.......
nawapa pole waliofikia hatua ya kuamini huu usanii..............
?! aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!
Si vibaya mtu kusema ukweli wake, ni kweli anataka mume. Natoa ushauri angeweka na picha yake tumwone kama vile First Lady ingehamasisha. Maana kidogo nifikiri ni huyo First Lady, kwa kweli ana mvuto. Mimi ningejitosa kuwa mwombaji wa uchumba. Tunaomba picha!!!
kwani lisa ndo anatafuta mume au Anne
Lisa kamsemea tu
ukiona hivyo kweli ameshoshwa ila bado umri mdogo sana atakuja kumshosha mwenzake
pole binamu! I can understand that!
huyo lisa ndiye katunga tu hii kitu. hakuna anyetafuta uchumba hapo!!!!!!!!!!!!!!!
hivi vitoto vinakurupuka tu
umri huo ameshatendwa weeeeeeee mpaka kachoka
jamani tulieni kids mbona hivo????
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.
Weka picha binti, usijetuuzia mbuzi kwenye gunia, wengine hatuchagui kwa tabia tunaangalia UREMBO.. i mean sura nzuri hata kutoka nawe tusione soo.
kama 'mis tz' miaka 20 sijui na lupango kalala, sijui yeye na boyfriend walishirikiana kupiga mtu, haka nako 23......and i tell u avitanii vimeshatendwa na kutenda kweli sasa anatafuta pumziko baada yakuona ktk wote walomega akuna mwenye hamu ya kuoa wala wazo