Amechoka kutendwa anahitaji mume

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,074
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.
 


haya wana JF Crispin, Fidel, na wengine haya sasa mshindwe nyinyi
 
Tatizo anaposema hachagui dini sina uhakika nalo kwani tujuavyo sisi waluther ndoa njema ni lazima iwe ya dini moja kama mkristo kwa mkristo au islam kwa islam na pagan kwa pagan.Tunataka kulea watoto katika maadili ya pande zote kwa baba na mama sasa wakiwa dini tofauti inakuwa mtihani mkubwa kwa watoto.
 
Mmh hapa JF wachumba wapo kweli

aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !
 

umri wa miaka 23 na kishatendwa mpalka kachoka????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hajatulia huyu, inaonekana hata shule alishindwa kuendelea kwa sababu ya majamboz...........................................

nitakuja baadaye lakini mie sijaona mchumba aliyetulia hapo!!!!!!!!!!!!!11

nimempa ziro kaisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mmh hapa JF wachumba wapo kweli

aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !

Binafsi namuonea huruma,lakini hauwezi jua anaweza kupata,kama hivyo chrispin kaisha mp.Kwa hakika hapa duniani hakuna kitu kigumu kama kuitafuta furaha ya kweli na mbaya zaidi Muumba aliuficha moyo.
 
Usijali mamy atapata tu mbn wako wengi?Bujibuji,Masaki,Drphone,Gkundi,Ngoswe
Mmh hapa JF wachumba wapo kweli

aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !
 

Ofcourse tunaheshimu mawazo yako ingawa watu tunatofautiana,wengine akitendwa mara moja tuu ndo hataki tena achilia mbali kuchoka.Kwa hiyo bado anaweza kuwa a nice candidate to go for ingawa ameshachoka kutendwa.Ingawa swali ni je,atajuaje huyo mtu atakae jitokeza hatomtenda?
 
Huyo yupo kikazi zaidi ama nini? kaanika kabisa na namba zake za simu. Zimesajiliwa tayari?

Kuna mmoja aliwahi kutoa namba za simu hapa akaja kulalamikia usumbufu...nina wasi wasi na hili kutokea tena
 

Rafiki usifanye kosa lakutoa No. Yako katika mazingira haya. Kuna njia nyingi sana za mawasiliano zikiwemo pm's. Otherwise all the best in looking for a husband here. be ready for hundreds of aplicants! good enough you have provided your mobile no. hata hao wanakuponda watakutwangia tu!!
 
Dah hivi nimechelewa au nimewahi ngoja nivute uzi nizibe nafasi.
 
Huyo yupo kikazi zaidi ama nini? kaanika kabisa na namba zake za simu. Zimesajiliwa tayari?

Kuna mmoja aliwahi kutoa namba za simu hapa akaja kulalamikia usumbufu...nina wasi wasi na hili kutokea tena

Homeboy taratibu. Waweza kuta ni yule wa MidTown! Shauri yako, ngoja mi niendelee na mkakati. Lisa nijibu PM yangu basi mama. Afu hizo namba mbona nimepiga anapokea mwanaume?
 


Real !!!!!! ukikosa kabisa nipm.thax
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…