Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Aking'ata anang'ang'ania sana kiasi kwamba kumtoa ni shida. Hapana hana sumu.Hata sijawahii huwa akikung'ata hatoki??? Hana sumu

nipekupenda bure[emoji12] [emoji12] [emoji12]sasa unataka tukushauri nini .mtu anataka kuondoka utamzuia? labda umlete yeye hapa ili tumshauri asiondoke .
Sitakki unikjlumbushe mwili unasisimka sanaAking'ata anang'ang'ania sana kiasi kwamba kumtoa ni shida. Hapana hana sumu.
Unaonekana unaumia sana wanawake wote wanapojumuishwa kwenye matukio ya hovyo...!!!!Si wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha tena wewe Sky hapa JF tu watu wanataka wakugawane, huko mtaani wakijua mumeo kafulia si ndo wata bet kabisa!!
Hahahaha! Haya mkuu.Sitakki unikjlumbushe mwili unasisimka sana
Mkuu pole upo Arusha?!Wakuu habari za muda huu?
Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu!
Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu yamekuwa ya furaha na amani.
Mwaka 2014 nilipata nafasi ya kujiunga shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo mkoani mbeya, na hapo tatizo ndipo lilipoanzia.
Niliamua kwenda kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza maarifa na ujuzi kwa lengo la kuandaa mazingira murua ya baadae. Niliamua kuomba ruhusa kwa mwajiri wangu katika mojawapo wa halmashauri katika mkoa wa Simiyu.
Mwajiri hakuridhia kunipa ruhusa japo nilikua na sifa na vigezo vinavyohitajika ili kupata kibari hicho.
Kwa kuwa nina malengo yangu nikaamua kwenda masomoni na kumuacha mama na mtoto sehemu tuliyokuwa tukiishi. Baada ya mabadiliko ya uongozi hapa kwetu nchini niliondolewa kwenye pay roll kwani taarifa zangu zilionesha sipo kazini. Hali hiyo ilisababisha kuyumba kiuchumi tangu April 2016 na kupelekea maisha yetu kuwa magumu.
Mzazi mwenzagu amevumilia kwa kipindi chote hicho na sasa anasema anataka kunipunguzia matatizo na mawazo kwa kuniacha niendelee na harakati zangu za kusaka maisha na yeye aendelee na shughuli zake huku akimlea mtoto. Nitakapokaa sawa atanipatia mwanangu.
Sasa wakuu naomba ushauri wenu nifanyaje kwani nampenda sana mama wa mwanangu si mpango wangu mwanangu kuja kulelewa na mama mwingine au baba mwingine.
N. B nimetoa mahari ila ndoa bado hatujafanikiwa kufunga.
wanaona vinaozamapenzi ya siku hizi tabu kweli....wanawake siku hizi sijui kwa nini wanakosa uvumilivu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Sasa hapa unaomba ushauri gani?
Si uongee tu na huyo mwenzako....
Geee whiz....this is not rocket science for god's sake!!!
Mbeya mkuuMkuu pole upo Arusha?!
Mhmhhhmh mkuu huo wingi unatisha uliouweka
Hahahaha eti vinaozawanaona vinaoza
mambo mengine bana sasa unatuhadithia ?unaomba ushauriWakuu habari za muda huu?
Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu!
Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu yamekuwa ya furaha na amani.
Mwaka 2014 nilipata nafasi ya kujiunga shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo mkoani mbeya, na hapo tatizo ndipo lilipoanzia.
Niliamua kwenda kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza maarifa na ujuzi kwa lengo la kuandaa mazingira murua ya baadae. Niliamua kuomba ruhusa kwa mwajiri wangu katika mojawapo wa halmashauri katika mkoa wa Simiyu.
Mwajiri hakuridhia kunipa ruhusa japo nilikua na sifa na vigezo vinavyohitajika ili kupata kibari hicho.
Kwa kuwa nina malengo yangu nikaamua kwenda masomoni na kumuacha mama na mtoto sehemu tuliyokuwa tukiishi. Baada ya mabadiliko ya uongozi hapa kwetu nchini niliondolewa kwenye pay roll kwani taarifa zangu zilionesha sipo kazini. Hali hiyo ilisababisha kuyumba kiuchumi tangu April 2016 na kupelekea maisha yetu kuwa magumu.
Mzazi mwenzagu amevumilia kwa kipindi chote hicho na sasa anasema anataka kunipunguzia matatizo na mawazo kwa kuniacha niendelee na harakati zangu za kusaka maisha na yeye aendelee na shughuli zake huku akimlea mtoto. Nitakapokaa sawa atanipatia mwanangu.
Sasa wakuu naomba ushauri wenu nifanyaje kwani nampenda sana mama wa mwanangu si mpango wangu mwanangu kuja kulelewa na mama mwingine au baba mwingine.
N. B nimetoa mahari ila ndoa bado hatujafanikiwa kufunga.
Ukiona haina maana unaachana nayo.mambo mengine bana sasa unatuhadithia ?unaomba ushauri
? ama nini kaongee na mkeo hao????
haina niliachana nayo wewe ndo umenirejesha hapaUkiona haina maana unaachana nayo.