Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Huku kwetu Kwamtogole havipo mkuu.Ni kweli hufahamu hicho kidude???
Huku kwetu Kwamtogole havipo mkuu.Ni kweli hufahamu hicho kidude???
Poa mkuu!Asante mkuu kwa elimu hii.
Si wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.
Bae amewahi ku experience bankruptcy ?Kila mtu kwake, na kila mtu anakipato chake.
Hapana anafanya shughuli zake kama kawaida.Huyo kuna mtu anamdanganya. Kwani uhusiano wenu unamzuia kufanya shughuli zake?
Naomba tung'ang'anianeSi wote kuna wengine tuna ng'ang'ania kama kunguni.
Sio ki rahisi rahisi hivyoPole sana...
Ushajua tatizo ni uchumi na hali yako kuwa siyo nzuri...
Tafuta pesa kwanza, jiimarishe kiuchumi atarudi tu na maisha yataendelea kama kawaida... Ni upepo utapita...
Cc: mahondaw
Hivi wanakosa uvumilivu au akili hazijakomaa?mapenzi ya siku hizi tabu kweli....wanawake siku hizi sijui kwa nini wanakosa uvumilivu
Daaaa nimemuona mwili wote ukasisimkaaaMdudu hatari sana kwa kufyonza damu. Anaishi kwenye madimbwi ya maji. Akikushika haachii.
View attachment 503446
Daaaa nimemuona mwili wote ukasisimkaaaMdudu hatari sana kwa kufyonza damu. Anaishi kwenye madimbwi ya maji. Akikushika haachii.
View attachment 503446
Pole sana. Alishawahi kukung'ata nini?Daaaa nimemuona mwili wote ukasisimkaaa
Si wanawake tu hata wanaume wapo wengi tu, kaoa muda ana amua kujiendelea unavumilia akisha anza kupata kipato kikubwa ana anza usumbufu na kuona mke sio na kuanza dharau bila kumdhamini hivyo hilo tatizo lipo pande zote na michepuko inaongezekamapenzi ya siku hizi tabu kweli....wanawake siku hizi sijui kwa nini wanakosa uvumilivu
Hata sijawahii huwa akikung'ata hatoki??? Hana sumuPole sana. Alishawahi kukung'ata nini?
Uje hapa yombo reli kuna mabwawa ya maji ili umuone huyo kiumbeHuku kwetu Kwamtogole havipo mkuu.