Amechaguliwa kwenda Chuo, napata wakati mgumu

Mchumba au gf HASOMESHWI.. Full stop.
Hata ukimuoa wakati huu akienda huko chuo kama ataamua kubadilika atabadilika tu, wewe muamini labda kama kuna viashiria ambavyo amevifanya na vikakupa huo wasiwais vinginevyo unajitia jaka la roho bure japo wakat mwengine waswas ndio akili, wewe muamini mwache akasome muhim mawasiliano au ukiona hutaweza heri muachane mapema tu
 
Nikwambie tu huyo si wako tena uo ndo ukweli mchungu we cha msingi endelea na maisha yako bila kumwambia chochote kile,eti usimamishe maisha kisa kumsubir mwanamke utakuja kujiua bure ,we mtafute mwingine kimya kimya tia mimba fanya maendeleo mingine bila uyo main kujua ili uko baadae kukija yumbaaba uwe ktk safe zone,ninazungumza kwa uzoefu najua huyo bi dada hana zaid ya 22age akikua zaid ya hapo jua akili zinafunguka ndugu
 
Alikuwa chuo nami pia nilikuwa sina kazi, now yupo chuo nami nimepata kazi
Sikiliza wewe acha kuzubaa.
Kama uko serious na umempenda mzalishe tu ili kujiwekea ulinzi na uhakika ili usipotezewe muda wako mbeleni.
Uzuri wa elimu ya chuo wanasoma watu wazima sio kama sekondari,wapo watu wana watoto na wanaenda kusoma kama kawaida haizuii kitu.
Isipokuwa ukienda kwa wazazi wake sasa hivi kwa gia ya kumuoa hawatakubali kwa vile wanatumia gharama kumsomesha hawatapenda mtoto wao kuchanganya vitu viwili kwa wakati mmoja ila ukimtia mimba hawatakuwa na ujanja tena.
 
Just take your own choices man ! Maana kichwani kwako tayari una majibu yako unataka tu sisi tukusaidie kuya justify !! Fanya unachofikiri baadae usipate mtu wa kulaumu au kushukuru except yourself !!

“ HUWEZI KUWA MWANAUME KAMA HUWEZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU “
 
Kama anakupenda kweli hata kusaliti kama kuna uwezekano wa kufunga naye ndoa kwa sasa fanyeni hivyo.
 
Halafu wasichana wa mwaka wa kwanza wanakuwaga watamu sana,,
Sijuwi kwa nn!!!

Tegemea haya mkuu usiseme hukuonywa""
Ni hatari kwa afya yako,

1---Simu za usiku punguza atakuwa na mwanachuo mwenzie au lecturer kwenye discussion sio vzr kuwasumbua.

2--- week end akiwa hapatikani hewani hata siku 2,, itakuwa simu ipo charge,,
umeme hostel utakuwa unasumbuwa..

3--- usifike hostel anapoishi huyo mchumba wako,,,,
Hapo chuoni alipo ni mpnz wa watu wengine,,wewe hutambuliki tena.

4-- password za simu yake zitakuwa ni nyingi haswa kwenye sms..na whtsap.

5-- usimtext mchumba wako sms zozote usiku mfano good night,, hatokujibu ,,au akajibu asubuhi .,

6-- ukimuhitaji ni ngumu kumpata kuliko ilivyo kawaida yenu .
Visingizio kila siku,,,yupo busy na masomo.

7-- kusave namba yako majina kama love,baby,sweetheart sahau mkuu.

Tegemea kuona majina kama,,
a--bodaboda,
b--muuza chips,,
c--kaka msumbufu ,,
d--mlinzi nyumbani ,
e-- Mangi dukani ,
f--pimbi.
h-- bwege.nk.
Au hata asii save kabisa namba yako .

Kumlinda mchumba asipigwe pumbu na wanachuo wenzie/lecturers ni sawa na kulinda bahari dunia nzima watu wasichote maji baharini..

Yaani uchote maji wewe peke yako,, ktk bahari zote za duniani.
Na kuwazuia wengine kuchota.
Kwa staili hii si mtamuua mwana kwa presha wazee.
 
Kama ni binti mrembo, mwenye chura, anaweza akaliwa (uhakika asilimia 95) au asiliwe (uhakika asilimia 5)
Kama ataliwa, atakupiga chini! (Uhakika asilimia 99) au ataendelea na wewe (uhakika asilimia 1)
Sasa cha kufanya;
  • Wewe cheza na probability. Baada ya yeye kwenda chuo, we tafuta binti mwingine mrembo uwe unapiga. Huyu usimuambie kama utamuoa, we kua nae tuu kama "plan B".
  • Yule wa chuo akianza kuzingua tu, unampandisha hadhi huyu plan b anakua main chick haraka sana na unaanza nae mipango ya harusi!
La asipozingua, unaendelea kumsubiri mpaka mtakapooana.

Hii itakuepushia kitu ambacho kitaalamu tunaita "kukosa mwana na maji ya moto"
 
Kama ni binti mrembo, mwenye chura, anaweza akaliwa (uhakika asilimia 95) au asiliwe (uhakika asilimia 5)
Kama ataliwa, atakupiga chini! (Uhakika asilimia 99) au ataendelea na wewe (uhakika asilimia 1)
Sasa cha kufanya;
  • Wewe cheza na probability. Baada ya yeye kwenda chuo, we tafuta binti mwingine mrembo uwe unapiga. Huyu usimuambie kama utamuoa, we kua nae tuu kama "plan B".
  • Yule wa chuo akianza kuzingua tu, unampandisha hadhi huyu plan b anakua main chick haraka sana na unaanza nae mipango ya harusi!
La asipozingua, unaendelea kumsubiri mpaka mtakapooana.

Hii itakuepushia kitu ambacho kitaalamu tunaita "kukosa mwana na maji ya moto"
Wahuni 3:1-6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom