Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Just knock him down continue with ur business life is too short,u gonna die young coz of stress! Eat, relax, enjoy things gonna be right on the way. Come on
 
Amina ubarikiwe!
Umejaribu kuongea nae, sio kudraw conclusion. Second kwa mahusiano ambayo hata 6 months hayajafika alafu tena ni long distance ni kazi sana kustawi. Unaweza jilaumu labda hauko lucky with rlships but kumbe ni mazingira. U need to know one another very well, spend time pamoja. Kama ni watu wa movie atleast mnaenda once per month au disco etc. Ukiona mwanaume anakupeleka movies, au weekends anakutoa out beach au anygood place without f@*cking you, he is into you. Kama ni yule mkitoka tu lazima hilo liwepo everytime, jua huyo si wa serious rlship
 
Teh teh..we endelea kulinda nguzo,umeme unawaka kwa jirani

Very special for Babu...lol!!

Hakuna sababu iwayo yoyote inayoweza kukufanya ushindwe kuwasiliana na lazizi wako walau mara moja ndani ya 24hrs.

Hapa nikimkosa bibi kwa 12hrs napata kichaa.
 
Thanks a lot
Just knock him down continue with ur business life is too short,u gonna die young coz of stress! Eat, relax, enjoy things gonna be right on the way. Come on
 
pole sana mdada ,naomba ufanye kazi kwa bidii kama ni mwanafunzi soma sanaa kwa bidii na jitahidi sanaa kwa sara umuombe MwenyeziMungu akujalie uvumilivu na subira, umwombee huyo mpenzi wako ajaliwe moyo wa imani na upendo wa dhati
 
Asante kw maono
Mapenzi ni 2 ways traffic , sasa kama anaringa huyo mwanaume hapo hapafai.
Huyo mwanaume kweli wakutaka kubembelezwa?
Mwanaume anabembeleza na si kubembelezwa.
 
Hapo dada yangu umeshaona yaani ondoka mapema kama ulivysema kuliko kuukomaza upendo baadaye ujute bora ung'atuke mapema mtu anayekupenda hawez kukaa wiki bila kukujulia hali ni ngumu uyo atakuumiza
 
..mkoa unaoishi hauna vidume? Sijui kwa nini watu wanapenda hizi relationships za masafa! Mnajipa pressure za bure!!
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,
nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.

Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana,,
hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengneyo nakosa the way to start talking acording to his silent. Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza,, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita / tano asbh napo hajibu mpaka nimtext papo hapo,
nikimuuliza kwa nini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yaan anakuwa amechoka sana,,,
nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,,
ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face,,, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nkaachwe hapo baadae.

Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidien kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.

Asanteni,,,!!..
Kimbia haraka hakuna mapenzi hapo...
 
Dah! Naona kama unanizungumzia mm vile!! Lkn yawezekana kama ulivyotangulia kusema kwamba kutokana na kutendwa huko nyuma na kuwa mguu mmoja ndani mguu mmoja nje huenda naye yupo kwenye kpindi cha kupima upepo!!
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,
nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.

Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana,,
hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengneyo nakosa the way to start talking acording to his silent. Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza,, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita / tano asbh napo hajibu mpaka nimtext papo hapo,
nikimuuliza kwa nini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yaan anakuwa amechoka sana,,,
nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,,
ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face,,, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nkaachwe hapo baadae.

Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidien kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.

Asanteni,,,!!..

Yaani huyo kinachofuata apo atakutafutia sababu hata kama ni ndogo huu mkasa mimi nmekutana nao kama miez miwili hivi iliyopita japo alyefanya hiv ni KE alipoondoka mkoani napokaa na kufika uko kwao ikawa shida natuma sms hajib akijb ni shortcut unajitahid kila mbinu wapi utajitahd kumtumia meseji ndefu na nzuri atakujib OK aloo...nilichokaa ikabidi nikiamka namtakia asbh njema lakin hajib ikifika usiku namtakia usku mwema..niliumia sana nikajitahid nijue tatizo kwa kumbembeleza aniambie lakini haikusaidia ukikaa kimya wala hupat hata salam hata ile salamu ya kinafiki hakupi nikiangalia kosa sina mwishon alipata sababu ndogo tena hata si ya msingi akasema tafuta mwingine....niishie hapo nimejarbu kukupa mfano halisi hapo hapakufai na hata akirudi usithubutu atakuja tena kukuzngua penye pendo la kweli lazima msimamo uwepo
Kuna msemo huu LOVE IS NOT A FEELING ITS A COMMITMENT
 
Pole kwa Unayopitia.. I know hw t feels lyk.. I've been there Before kweli ts Hurt sana hasa kwa Mtu unaempenda kukufanyia hivyo kukuignore. Changamoto kwa Uchache 1)kuchokana/kuzoeana 2)Umbali/Distance 3)Ubize 4) kapata Mwingine. Nk.
Ushari: first..Relax n Stay Calm, kwenye Mapenzi Kuna hali ya kuzoeana kupita kiasi hii inapelekea kuchokana.. Hii ni Hali
Ya kawaida sana Kutokea katika Mapenzi. Na hii inatokana na Wapenzi kukaa Muda Mrefu kwenye Mahusiano cjajua (mmekaa Muda gani) pia ukosefu wa Ubunifu inapelekea hali hii. Jaribu kukaachini kujitafakari toka Mlipotoka utapata jibu sahihi.. Kama ni kuzoeana mjaribu kupeana Space(Muda) kidogo, Pia Jaribu kuwa m'bunifu kuboresha Mahusiano yenu( change the way mmezoea kuchat/kuasiliana ect) 2) umbali Long Distance inaua Mahusiano Sometimes. Mjaribu kutembeleana Mara kwa Mara kama yeye haji kwako nenda kwake.. Jus (cheza part yako effectively) ili likitokea lolote Usije ukajilaumu au kulaumiwa kwa kutowajibika kwa r'ship yako ipasavyo. Atalaumiwa na kujilaumu yeye kwa kushindwa kuwajibika. 3) Ubize maybe ts true MPE Muda na tafuta Muda Ukaenae Umuweke wazi kabadilika coz if U truly Love Someone no matter hw busy U r, U 'll alwayz find a tym kwa Mpenzi Wako. So Mwambie Usimfiche na Umpe muda Atachange. 4) kapata Mwngine.. Hii siipendi sana coz in a R'ship hutakiwi kuwa na Negative thoughts Mara nyingi zinaua Mahusiano jaribu kumchunguza kidogo ili kuhakikisha kama unamawazo hayo. Pia jaribu kufanya hvyo kama unaweza kama huwezi kumchunguza.. Tulia Ondoa negative thoughts kabisa n stay focused. Muombe Mungu Aponye Mahusiano yako. Sorry nmeandika kwakirefu kwa faida ya wasomaji wengine ndio maana cjaja PM.. Hapo ni kwa kifupi tu.

Fact...
 
He got s'one else mumy.. Dont continue waste yur tym. There are better man out there!!
 
Dada yangu, kwa huyo jamaa haupo mguu ndani mwengine nje, we umezama kabisa la sivyo usingekuja huku kuomba ushauri.

We kiamshe mapema tena akikutafuta na wewe unamkatia simu, akituma msg unaipotezea, tena block namba yake kabisa, mbona vitu vyengine simple tu na vipo wazi. HAKUPENDI hilo ndio jibu so Acha kujipendekeza kwake, tafuta mwengine
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,
nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.

Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana,,
hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengneyo nakosa the way to start talking acording to his silent. Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza,, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita / tano asbh napo hajibu mpaka nimtext papo hapo,
nikimuuliza kwa nini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yaan anakuwa amechoka sana,,,
nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,,
ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face,,, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nkaachwe hapo baadae.

Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidien kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.

Asanteni,,,!!..
Hapo kwenye red umejuaje asee....hivi mtu anayekupenda SANA anaweza ku-behave namna hiyo kweli???
 
Back
Top Bottom