Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Me too

Pole sana dear .. Hii situation inawakuta wengi especially women.. Since you have tried so hard to communicate with him . My advice to you is to stay occupy and stop contact him for a while unless if he will call you .

And if he does MPE black and white bila kuficha about how you feel kuhusu poor communication . Na kama amepata mwingine basi muambie akuambie kuliko kupoteza muda .

Ikitoke akisema hapana no one else except you then MPE msimamo wako about communication , tell him what are you expect him to do in the future kama akikubali masharti yako na kuyafanyia kazi basi MPE chance .

During in that second chance stay awake to observe him kama hamna change mliyokubaliana dear don't even think twice just walk away . Distance relationship without communication is more stressful na kupotezeana muda . You are too beautiful to waste your time . Stay strong .. Thanks .
 
Last edited by a moderator:
Nawewe kaa kimya ikiwezekana mpotezee tu itakuaje wewe kila siku ndo unamkumbuka it means yeye hakujali,mana hata kama mtu yupo busy angetumia hata muda ambao anakua free kukujulia hali asa mpaka umuanze wewe napo sometime unamuanza then hakujibu..jiengue tu tena mko mbali si ajabu kaoa jiondoe angalia yako achana nae utapata ataekujali wanaume wengi si yeye pekee.
 
Neno niko bize halafu mpaka wewe umtafute yeye wakati mwingine hakujibu huna sababu ya kupoteza muda angalia maisha yako huyo tayari sio wako tena
 
Ukishaona kwenye mahusiano mmoja anakuja na excuse ya "am busy" jua kuwa that ship has sailed already. I have been there done that!! Jiongeze mama polepole jiweke pembeni uepushe msongamano
 
Duh ulivyoanza kuandika nikajua demu wangu ananishtaki JF!!
 
Hapo hakuna namna kubaliana na hali halisi kuwa mwenzio hakuhitaji kivile ameshapata wa kumoyo aliko hivyo jiondoe faster kabla hujaumbuka
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili/ tatu ivi amechange sana.

Hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengineyo nakosa the way to start talking acording to his silent.

Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita/tano asubuhi napo hajibu mpaka nimtext papo hapo, nikimuuliza kwanini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yani anakuwa amechoka sana.

Nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana, ifahamike tupo mikoa tofauti
.

kwa vigezo hivyo2 ni dhahiri hupendwi.
 
HUENDA IKAWA UNAMUOMBA PESA SAANA..maana wanaume wa siku hizi ukionyesha dalili za u-gold digger wanakimbia bila kuaga..polee
 
Me too

Pole sana dear .. Hii situation inawakuta wengi especially women.. Since you have tried so hard to communicate with him . My advice to you is to stay occupy and stop contact him for a while unless if he will call you .

And if he does MPE black and white bila kuficha about how you feel kuhusu poor communication . Na kama amepata mwingine basi muambie akuambie kuliko kupoteza muda .

Ikitoke akisema hapana no one else except you then MPE msimamo wako about communication , tell him what are you expect him to do in the future kama akikubali masharti yako na kuyafanyia kazi basi MPE chance .

During in that second chance stay awake to observe him kama hamna change mliyokubaliana dear don't even think twice just walk away . Distance relationship without communication is more stressful na kupotezeana muda . You are too beautiful to waste your time . Stay strong .. Thanks .

nahisi kama nipo nacheza mechi, na mpira wa kona ndio huo!
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa Unayopitia.. I know hw t feels lyk.. I've been there Before kweli ts Hurt sana hasa kwa Mtu unaempenda kukufanyia hivyo kukuignore. Changamoto kwa Uchache 1)kuchokana/kuzoeana 2)Umbali/Distance 3)Ubize 4) kapata Mwingine. Nk.
Ushari: first..Relax n Stay Calm, kwenye Mapenzi Kuna hali ya kuzoeana kupita kiasi hii inapelekea kuchokana.. Hii ni Hali
Ya kawaida sana Kutokea katika Mapenzi. Na hii inatokana na Wapenzi kukaa Muda Mrefu kwenye Mahusiano cjajua (mmekaa Muda gani) pia ukosefu wa Ubunifu inapelekea hali hii. Jaribu kukaachini kujitafakari toka Mlipotoka utapata jibu sahihi.. Kama ni kuzoeana mjaribu kupeana Space(Muda) kidogo, Pia Jaribu kuwa m'bunifu kuboresha Mahusiano yenu( change the way mmezoea kuchat/kuasiliana ect) 2) umbali Long Distance inaua Mahusiano Sometimes. Mjaribu kutembeleana Mara kwa Mara kama yeye haji kwako nenda kwake.. Jus (cheza part yako effectively) ili likitokea lolote Usije ukajilaumu au kulaumiwa kwa kutowajibika kwa r'ship yako ipasavyo. Atalaumiwa na kujilaumu yeye kwa kushindwa kuwajibika. 3) Ubize maybe ts true MPE Muda na tafuta Muda Ukaenae Umuweke wazi kabadilika coz if U truly Love Someone no matter hw busy U r, U 'll alwayz find a tym kwa Mpenzi Wako. So Mwambie Usimfiche na Umpe muda Atachange. 4) kapata Mwngine.. Hii siipendi sana coz in a R'ship hutakiwi kuwa na Negative thoughts Mara nyingi zinaua Mahusiano jaribu kumchunguza kidogo ili kuhakikisha kama unamawazo hayo. Pia jaribu kufanya hvyo kama unaweza kama huwezi kumchunguza.. Tulia Ondoa negative thoughts kabisa n stay focused. Muombe Mungu Aponye Mahusiano yako. Sorry nmeandika kwakirefu kwa faida ya wasomaji wengine ndio maana cjaja PM.. Hapo ni kwa kifupi tu.

sure you are a wise person...hope ameona
 
Ina Maana Hata Yule Lecturel Wa DIT bado Amekaza Uzi?
 
daaah kumbe sio mm peke yangu, my dear Hawa viumbe ni watu Wa ajabu anaweza kukupamba kwa maneno matamu kumbe hana hata mapenz ya dhat kwako, mm nimejifunza mengi nimeamua kumove one..
 
Dadaangu Me too nakushauri vunja uwa tu apo (jipunguze / achana nae),...Hamna shuhuli tena apo, maswala ya kuwa busy kila mtu akamate shuhuli zake tu...Tafuta wa kuwa busy nae pia ili usiumie! Tangu nielewe gemu za mapenzi kibongo bongo najionea burudani tu halafu wala siumizi sana akili katika kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom