Amebadilika baada ya kumpa penzi

Hakuwa team kibamia huyo, geuza kibano kuwa hakuwa lolote si chochote katika kujifariji.
 
Inaonesha hukujipa muda wa kumfahamu zaidi huyo jamaa, naye ametumia upungufu wako ili ajipatie faida.
 
pole mama,itakua keki yako siyo tamu sana au ni kubwa sana ndo maana kasepa
 

Positive thinking 🤝 i like that
Hakika utaendelea sana katika maisha yako
 
ID yako ya zamani/maarufu ni ipi?
 
Dogo ndio anakaribishwa kwenye ulimwengu wa mabazazi hivyo masikini.
Nyie ndio mnawaumizaga hawa watoto halafu baadae mnaanza kuwalaumu wanawake.
Ameumizwa kivip wakati na yeye alipata utam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…