Amebadili

Moyo umeacha kuuma??Mmh kawaida sana tu!

Jana nilikuwa hovyo sana, halafu kama balaa vile hata sijibiwi post zangu na huyu dada michelle, unajua maumbo yenu na ragi mnafanana sana nataka nihamishie majeshi huko.
 
Hahahaha!Muite kwa sauti!Labda hajakuskia...alafu anza kwakumhonga maThanks!
 
Hahahahahaha!Wambea tu hao!Mara hii labda kama ilikuwepo kabla!

Kwa waumini wengine hii ya ujauzito ni common, nilikuwa na mshangao kwa mchungaji! Michelle nimempata nimemshukia mistari nasubiri nione response kama itakuwepo this time.
 
Hapana bwana!!Safi hiyo...muimbishe alafu unipe feedback!
 
Ishu inazidi kuni changanya, bado ha respond! Ngoja ni nipige funda moja akiliikae sawa... she is very hard angalau anijibu nijue moja, lakini huu mwaka nimeanza vibaya
 
Mmmh we kila kitu unasolve na funda?Haifai hiyo!Nikupe pacha wangu?Hatufanani lakini!
 
Back
Top Bottom