Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasilikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake,
Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba,

'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba, mahombi, kukesha ata kwa damu lazima atahakikisha nafunga nae Ndoa"

Nimemuuliza shortly kwa nini anasema hivyo? Kanijibu kwamba ameshasikia mengi kunihusu hivyo kwa vyovyote vile Nisiwaze kuhusu kumuacha kwa sababu anajua kile atakuja kunifanya,

Nilichukulia Utani, lakini kumtazama usoni naona mtu kama yuko serious kabisa wakuu.

Sijui ata nifanyaje.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuandalia mchezo unaitwa "The hell in a cell"!Hautotoka hadi mmoja aende akaongoze malaika mbinguni.Niamini mimi!
cc Zero IQ
 
Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasilikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake,
Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba,

'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba, mahombi, kukesha ata kwa damu lazima atahakikisha nafunga nae Ndoa"

Nimemuuliza shortly kwa nini anasema hivyo? Kanijibu kwamba ameshasikia mengi kunihusu hivyo kwa vyovyote vile Nisiwaze kuhusu kumuacha kwa sababu anajua kile atakuja kunifanya,

Nilichukulia Utani, lakini kumtazama usoni naona mtu kama yuko serious kabisa wakuu.

Sijui ata nifanyaje.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama humtaki,mpeleke kibabe kuanzia leo akizingua piga mateke ya shingo na ngumi za rohoni mpaka aombe poo chakata mbususu mpya za pembeni mpaka ajue, hataweza kuendelea na wewe.
 
Huenda ulimuongopea kuwa utamuoa lakini haoni mwelekeo wowote kutoka kwako maana wewe ni mchakataji mzuri.
 
Back
Top Bottom