Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasilikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake,
Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba,

'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba, mahombi, kukesha ata kwa damu lazima atahakikisha nafunga nae Ndoa"

Nimemuuliza shortly kwa nini anasema hivyo? Kanijibu kwamba ameshasikia mengi kunihusu hivyo kwa vyovyote vile Nisiwaze kuhusu kumuacha kwa sababu anajua kile atakuja kunifanya,

Nilichukulia Utani, lakini kumtazama usoni naona mtu kama yuko serious kabisa wakuu.


Sijui ata nifanyaje.


Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuoa utamuoa tu iwe kwa jasho na damu,na usipomuoa utalimia meno 🤗🤗😂
 
Mbuzi kufia kwa muuuza supu
sasa mkuu unaogopa ndoa au ni nini
 
Back
Top Bottom