Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasirikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake, Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba, 'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba, maombi, kukesha ata kwa damu lazima atahakikisha nafunga nae Ndoa"

Nimemuuliza shortly kwa nini anasema hivyo? Kanijibu kwamba ameshasikia mengi kunihusu hivyo kwa vyovyote vile nisiwaze kuhusu kumuacha kwa sababu anajua kile atakuja kunifanya.

Nilichukulia Utani, lakini kumtazama usoni naona mtu kama yuko serious kabisa wakuu.

Sijui ata nifanyaje.

Cc Zero IQ
 
Mwangalie sana atakuwa anapenda kyepe yai ale milele.Asije akatia doa kiwanda chako Cha uchakataji.Ila kwa ubabe huo akuna mwanamke mkuu .itakuwa muha wa kg huyo
 
Back
Top Bottom