Amchoma mwenzie kisu baada ya majibizano Tips Lounge

Ishu nzima ilikuwa hivi.
Hawa jamaa walikuwa wanakula na kunywa pamoja kwa muda na kujadiliana kuhusu mpira.

Wakati wametoka nje ya pub kuelekea kwenye usafiri majadiliano yao yaligeuka kuwa majibizano ambapo baada ya kubishana kwa muda mmoja wapo (Aliyetambulika kwa jina la Abdallah Luoga, mwanafunzi wa mwaka wa 2 Chuo cha Diplomasia Kurasini) akamvamia mwenzie (Andy) na kumchomana kitu chenye ncha kali.
Mtuhumiwa yuko mikononi mwa jeshi la polisi tayari.
Pub inawajibikaje hapo?
 
Hao kweli vichwa vyao vimejaa ugoro ...yaani wana chomana visu kwa sababu za kijinga jinga kama hizo ... ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tips pub Mikocheni inaonekana sio sehemu salama sana sasa baada ya jamaa anayejulikana kama Andy Senkoro kuchomwa kisu mithiri ya kuchinjwa kwenye pub hiyo

Sasa yupo ICU Muhimbili tumuombee….kuna umuhimu sehemu kama hizo kuwa na masaa ya kufunga sio kuuza tu

View attachment 1043742
Walevi bana!!!?
 
We unasema visu? Bado kuliwa na mbu, jamani tuwekeeni vyandarua
 
Hapa watu wataponda na kuwaona jamaa ni wajinga but sababu kubwa ni Pombe tu...
kamwe pombe haiwezi kumuacha mtu salama.Mtu anapokuwa tungi huwa tunakuwa na entire diffderent personality most of time tunakuwa too physical and violence nadhani ndicho kilichotokea kwa hawa ma-comrades..

#Muungwana_John
 
sasa huoni wewe ULIYEPOST ni mwanafunzi mwenziye wa chuo kikuu halafu wote ni WALEVI NA HAMNA AKILI?????
 
Ishu nzima ilikuwa hivi.
Hawa jamaa walikuwa wanakula na kunywa pamoja kwa muda na kujadiliana kuhusu mpira.

Wakati wametoka nje ya pub kuelekea kwenye usafiri majadiliano yao yaligeuka kuwa majibizano ambapo baada ya kubishana kwa muda mmoja wapo (Aliyetambulika kwa jina la Abdallah Luoga, mwanafunzi wa mwaka wa 2 Chuo cha Diplomasia Kurasini) akamvamia mwenzie (Andy) na kumchomana kitu chenye ncha kali.
Mtuhumiwa yuko mikononi mwa jeshi la polisi tayari.
Sasa mabishano ya mpira tena nje ya pub anataka kuharibu biashara ya mtu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom