Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,288 Reaction score 5,762 Jun 6, 2022 #1 Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Jun 6, 2022 #2 Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,103 Jun 6, 2022 #3 Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,739 Reaction score 118,655 Jun 6, 2022 #4 Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.
Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.