Ambulance eneo la matokeo!!!upo hapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ambulance eneo la matokeo!!!upo hapo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Thinker96, Apr 2, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  chuoni kwe2 hapa saut mwanza leo wamebandika matokeo kama kawaida huwa hawarushi kwenye net kwanza kwa sababu za kiusalama kila kituo cha fakati ambapo wamebandika matokeo gari la ambulance na watoa misaada wa huduma ya kwanza wanazunguka huku wakiwaambia watu walipata angalau sura ya furaha na kelele marufuku...m2 asikudanganye matokeo ya wote yamebandikwa jaman jaman shule c mchezo hali kama ndo hv hapana.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pole kijana, kila mkulima huvuna alichokipanda.

  Kama ulipanda Disco utavuna Disco
   
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mbona bora hiyo ya degree ya kwanza panda huku juu uone shule ilivyo shughuli!!
   
 4. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  uko juu kumbe?au ndo nin nin tena c unajua mjin form6 chuo kikuu majengo!
   
Loading...