Chief Mtangi
Member
- May 11, 2020
- 74
- 119
Dunga yupo ila sidhani kama anafanya tena production katika ile intensity, mara ya mwisho kumsikia ni kwenye nyimbo ya Galatone "Samaki" nahisi pia alihusika 100% kutengeneza pia back vocals zake zinasikika, lakini pia nimemuona kwenye videos kadhaa za wanamuziki underground wa Tanga (even Galatone anatokea huko) lakini nadhani now ameweka makazi Tanga.
Mama Debora fanya mpango ujirekodi sauti ukitaja member watatu tu ulio pishana nao kwenye uzi wowote hapa JF.
Hivi producer effector na ile lebo yake nimeisahau jina yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na chalinze pia pale wamekaa kwenye gogo na mibuyu nyuma ukiwa unaanza kuingia chalinze kitambo balaaKisarawe kuna kijijini kinaitwa Masaki. Kama unelekea Kibiti
Huyo mwamba pancho nilikuwa namkubali sana,alikuwa anabiti za adabu ukisikia UPWEEEEEE ujue ni yeye.apumzike kwa amani.Hemmy B na Pancho Latino
Unaikumbuka ngoma ya Hot Pot Family inaitwa Bonge la Toto chorus ameimba Q Chilla?
'Bonge la Toto, mwacheni aringeee!' nalipata vizuri saana! Nilikuwa kwenye peak ya ujana enzi hizo so nyimbo 99% zilizotoka mwaka kuanzia 1999 mpaka lately 2010 nazijua!
Baada ya hapo uzee tena nipo kwenye country music na zilipendwa na vile nyimbo za siku hizi matusi nje nje ndiyo kabisaa!
Ila milima ya uluguru inaonekana ndio maana nashangaaKisarawe kuna kijijini kinaitwa Masaki. Kama unelekea Kibiti
Kufanyiwa figisu bongo kawaida kama director Erin Epidu wa Uganda, alitamba sana bongoSio kweli, Dunga bado yupo.
Alifanyiwa figisu za working permit hapa Bongo ndio maana akapotea mazima.
Ila bado anafanya kazi, anatumiwa nyimbo anazifanyia mastering huko Kenya.
Mfano Higher wa Nikki wa pili, dah jamaa nilikuwa namkubali sanaHuyo mwamba pancho nilikuwa namkubali sana,alikuwa anabiti za adabu ukisikia UPWEEEEEE ujue ni yeye.apumzike kwa amani.
Daah imenikumbusha mbali mzee..noorah alikua mkali San.ukitaka kuskia vizuri hii ngoma ckizia kwenye mzik mneneIyo Baba Style Ya Noorah Asee Si Mchezo Beat Yakee---
Jamaa Aligonga Base Apo
Sent from my iPhone using JamiiForums