bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,091
- 19,967
Na wanaitaja kabisa Studio 69She performs - Ngwair ft TID haukutengenezwa 41 records,ulitengenezwa Studio 69 na hiyo Sauti unayosema sio Dunga ila ni sample vocal ambayo imetumika sana pia kwenye nyimbo za Ulaya.
Iphone 11 Pro Max
Huyo mwamba pancho nilikuwa namkubali sana,alikuwa anabiti za adabu ukisikia UPWEEEEEE ujue ni yeye.apumzike kwa amani.
Kisarawe kuna kijijini kinaitwa Masaki. Kama unelekea Kibiti
Effector Ndio alikua producer wa ECT
Na wanaitaja kabisa Studio 69
Huyu Noorah sijui ana kichwa gani aisee. Nakumbuka tulikosana na rafiki yangu sababu ya wimbo LUGHA GONGANA. Jamaa akawa ananiambia yale majibizano ni vikatuni😁 kwakuwa hakuna mtu anaweza kutunga. Nikamuuliza kwahiyo hizo katuni zimejitengeneza? Ikawa mwisho wa urafiki wetu kwasababu mimi mbishi na najifanya mjuaji.Ilo baba styles la noorah ata angelitoa kesho kama song jipya lingekua hit song.
Got ya!It not always that way!
Kuna scenario producer anaenda kutengenezea Beat kwenye studio tofauti na yake.
A.M Records kuna ma-producer zaidi ya watatu, lakin haimaanishi kila wimbo kutoka AM Records katengeneza Manecky.
MJ Records kuna ma-producer kibao sasa hivi, lakin sio kila ngoma ya M.J Records katengeneza Marcho Chali!
Kitu hatariEven though I got my own CD...
May be even on TV..
There aint no changing ME...
I can only be me, me, ME..
Beat lake kali sana. RNB moja ya kufanyia mapenzi usiku!
Ndio maana wanakushutumu kuwa wewe ni dume tena la mbegu, mwanamke anachambuaje muziki namna hii!
Au Modds mnasemaje?
hahhahahahahahaNdio maana wanakushutumu kuwa wewe ni dume tena la mbegu, mwanamke anachambuaje muziki namna hii!
Au Modds mnasemaje?
pale kariakoo tuna_shamba letu,huyo matonya alikuja kuomba location hapo tukamwambia haiwezeakani hadi tuvune.Hivi ule wimbo wa Anita wa matonya ile video ilishutiwa Kijiji gani hapo dar mbona sielewi?
😃😃 acha uongoMkuu Dunga ameshafariki mbona
Timberland mtu mbaya sana kwenye beat na back ground vocal.
Kwenye beat yeye na Dr. Dre wana kitu flani cha kipekee, ile ukisikia tu unajua huyu flani.
BTW, umechambua vizuri sana.
Unaijua game ya muziki kama wadada flani amazing, Salama Jabir na Dj Fetty.
Nahisi wewe ni mmoja wa hao wadada, hiyo rangi yako kwenye pic uliyo tuma, white flani kama ya Dubai na uelewa wako wa game ya music ndiyo vimenishawishi kukufaninisha na hao watu.
Kisarawe kuna kijijini kinaitwa Masaki. Kama unelekea Kibiti