Ambaye hajalala tupige stori.

mchana nilikuwa natembeza mahindi ya kuchemsha. Nipe updates za candidate wetu. Thread imekuwa ndefu sana hadi nimeshindwa kufatilia.
Haki ya nani tena wamembana, hajapita
Kwanza wamesema kua amepata kura mbili (ya the boss na ya belinda jacob)
eti wewe na mimi tulipiga kura kichit chat zaidi
Na kwamba kura ya taz haihesabiki sababu alinukuu kura za member mngine na kusema: hii ndio kura yangu
eti alitakiwa kuandika mwenyewe bila kunikuu.
Hata hivo anakua na kura tatu valid...
what they did wakamhamisha category from JF man of the year ambapo angekua wa kwanza
na kumpeleka MMU king sijui nini, ambapo The Boss alikua na kura 8, na mngine gani sijui alikua na kura 6
So akaonekana hana kura za kutosha.'
Nilipopiga appeal wakaanza kusema kuna something personal kati ya candidate na Mwali.
So I just stopped, nikamwandikia na Supaman kua nimekubali matokeo, kura ziendelee tu
But mimi namjua JF man of they year wangu ni nani...
 
Mwali mpwa wangu, sio kawaida yako kuandika maelezo marefu hivi kwa sababu ya mtu mmoja kuchakachuliwa kura...mbona hujasema mimi ankal wako, nimenyimwa haki ya ugombea binafsi, na jumatatu naenda mahakamani kupinga?

sasa basi kabla sijalala, pamoja na kila kitu, hebu nipe maelezo kuna nini so special

ankal wako leo ako na tafakuri sana....
 
Nataka kujiunga na ardhi university vp waweza nisaidia taratbu zote?
 
Haki ya nani tena wamembana, hajapita
Kwanza wamesema kua amepata kura mbili (ya the boss na ya belinda jacob)
eti wewe na mimi tulipiga kura kichit chat zaidi
Na kwamba kura ya taz haihesabiki sababu alinukuu kura za member mngine na kusema: hii ndio kura yangu
eti alitakiwa kuandika mwenyewe bila kunikuu.
Hata hivo anakua na kura tatu valid...
what they did wakamhamisha category from JF man of the year ambapo angekua wa kwanza
na kumpeleka MMU king sijui nini, ambapo The Boss alikua na kura 8, na mngine gani sijui alikua na kura 6
So akaonekana hana kura za kutosha.'
Nilipopiga appeal wakaanza kusema kuna something personal kati ya candidate na Mwali.
So I just stopped, nikamwandikia na Supaman kua nimekubali matokeo, kura ziendelee tu
But mimi namjua JF man of they year wangu ni nani...

hakyanani wametuchakachua! Hawajatutendea haki kabisa maana utaratibu wa kupendekeza ulikuwa ni kama tulivyofanya. Post yangu ya kwanza kabisa nilitaja candidates wangu na haikuwa na parojo.
Nway, asiyekubali kushindwa si mshindani.
Mi pia namjua my JF man of the year. Lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom