Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Mwali leo upo lindo gan?
Lindo ndio nini? sijaelewa hilo neno...Mwali leo upo lindo gan?
Msalimie sana, looking forward to reading her again.huwa anatembezewa mikwara kimtindo,sunajua mke wa mtu!
Ah, ok. Kuna kazi natakiwa kumalizia, ndio napeleka peleka hapa.Mwali lindo ni mahali unapokeshea ukiwa macho.
Pole sana, hesabu mbaya...nimeuza usingizi nikanunua mkesha.
Haya, nitarudi around saa sita.asante kwa kampani..ngoja na mie nikatafute supu sasa.
Lindo ndio nini? sijaelewa hilo neno...
Naenda... good day (nimesha kesha lakini, lol)Kama hauelewi maana ya lile neno naomba sasa ukalale kwani nasikiaga wahenga wamesema NGOMA YA MTOTO HAIKESHI!
Naenda... good day (nimesha kesha lakini, lol)
Story za kupotea. Ulikua wapi cousin?Story gani?
Story za kupotea. Ulikua wapi cousin?
Nilikua nauliza mchana, hukuonekana...mbona nipo humu kila siku. Lete mpya cousin.