Ambaye anatumia flat TV za startimes tunaomba mrejesho

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,709
2,373
Habarini wanajamvi ... napenda kuuliza kuhusu ubora wa tv hiza maana nimevutuwa nazo kwa maana ya bei zake

Kama kuna mtu ambaye akishatumia tunaomba tupe elimu kuhuzu hizi tv
 
Dekoder iko nyuma ya TV , pia unaunganisha decoder nyingine kama kawaida kwa mfano mimi nimenunua hiyo flat lakini decoder yangu ni azam TV kiujumla mzigo uko powa picha ziko quality kabisa na chombo kina mvuto sana
 
Vipi kuhusu picha & ubora wa kudumu?
4402405c5a3d900eadb936c508a38c58.jpg
ni nzuri sana mkuu! Full HD
 
Back
Top Bottom