Amazon FBA

Amazon FBA

Kama kichwa Cha habari hapoo juu kivyoeleza hivi Kuna mtu amaesha wah fanya Amazon FBA humu au kwa Tanzania inawezekana

View attachment 2027100
Hii issue nilifwatilia mwaka jana ila naona kwa nchi yetu ni ngumu maana hatuna access ya PAYPAL.

Mbaya zaidi viongozi wamejazana pale wizarani wakilelela vitambi vyao.

PS: Nimejaribu kucheki naona kama kuna uwezekano... ngoja niifwatilie vizuri maana ni muda kidogo..
 
Daa fresh mkuu manaviongozi Wana angalia interest zao tuu mkuu
 
inawezekana mkuu.. mwezi wa 6 mwaka huu amazon wameongeza nchi ambazo unaweza kujisajili kama amazon seller na tanzania ikiwemo

View attachment 2027651

Wameongeza lakini bado hawatambui anuani za huku kwetu. Mfano mzuri huu hapa
IMG_1021.jpg
 
Asee hii kitu kwanza ndiyo nimeiskia leo kumbe fursa zipo kila angle
 
Back
Top Bottom