Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 407
FBA kwa Tanzania haiwezekani.kwa Tanzania ๐น๐ฟ inawezekana
Ndio nini hiyoFBA kwa Tanzania haiwezekani.
Fafanua mkuu, Amazon FBA ndo nini ?
FBA kwa Tanzania haiwezekani.
.Fafanua mkuu, Amazon FBA ndo nini ?
Ndio nini hiyo
.
inawezekana mkuu.. mwezi wa 6 mwaka huu amazon wameongeza nchi ambazo unaweza kujisajili kama amazon seller na tanzania ikiwemo.
Bado sana na ndo mana kuwa tz Kuna opportunity tunazikosa mzee
inawezekana mkuu.. mwezi wa 6 mwaka huu amazon wameongeza nchi ambazo unaweza kujisajili kama amazon seller na tanzania ikiwemo
View attachment 2027651
Ngoja waje kukupa muongozo...
Yan hii fursa inaniumiza kichwa sana.Sijui tunakwama wapi labda mtu wa nnje asajili account alaf uifanyie kazi ,vinginevyo haiwezekani
Sana sanaAnhaa ila ni fursa nzuri sana
Sana sana
[emoji848] subiri niione ,kuna printify pia ,ingawa hawa inahitajika uwe na Online store na pesa ya kuagizia mzigo ukipata odaNilifuatilia ila niliiona katika Etsy.com ipo ila tatizo sio wide sana
[emoji848] subiri niione ,kuna printify pia ,ingawa hawa inahitajika uwe na Online store na pesa ya kuagizia mzigo ukipata oda