donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Last edited by a moderator:
Sipati picha kama Vibaka wa Bongo wangekuwa watu wa mazoezi na kuweza kufanya hivi, wangetesa sana mitaani.... kuiba na kukimbia kwa kuruka ruka nyumba hadi nyumba hakuna wa kukamatwa na kuchomwa moto...tatizo mloooo