Amazing Look-Alikes - The same...but different

Amazing Look-Alikes - The same...but different

Alafu wengine wamefanana kuliko mapacha duh[/QUOT)
unajua weupe wanagongeana sana, nashangaa watu wanavyosemaga eti wazungu ni waaminifuu

Hahahaha hilo sina uhakika kwa kweli...me nna cousin zangu wa kiume mapacha 13 yrs old nawatania wote wachuchu zangu na wala siwezi kuwabagua labda kubahatisha lol
 
Mbona hawapo 100% alike kila picha kuna mmoja kamzidi mwenzie na kuna tofauti ya namna moja au nyingine aidha tabasamu au vingenevyo!!
 
Mbona hawapo 100% alike kila picha kuna mmoja kamzidi mwenzie na kuna tofauti ya namna moja au nyingine aidha tabasamu au vingenevyo!!

100% alike itakua ametolewa photo copy..
 
BAMA.jpg
 
Sio siri kuna wanaofafanana kama watu wanao-share same genetic make up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom