Kweli Mungu ni mkuu tazama mnyama asiye na mikono wala uwezo wa kuomba msaada atolewe papasi sikioni kapewa msaidizi na rafiki wa kumtolea kupe.
Katoto ka swala kakiwa kametulia ili kapewe tiba na ndege. Ndege husaidia kutoa wadudu kama kupe kwa wanyama na kupe ni CHAKULA CHA NDEGE
Ndala za guest hakuna kuondoka nazo.Amavubi hyo avatar yako inamaana gani