omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,702
Hawa ndio walikuwa watu wa kuweza kutusaidia kwa sasa kutueleza ni kwa nini uchumi wa taifa 'unakua' huku umasikini kwa wananchi wa taifa hilohilo wakizidi kuwa mafukara. Lakini matokeo yake wako kwenye migogoro kila sehemu kutokana na pesa walizotengeneza bila shaka kwa njia zisizo sahihi.
Afrika na hasa Tanzania ina matatizo mengi na inabdidi tujifunze hasa wenye nafasi za maamuzi kwa wengine kuwa bila haki hata wakilimbikiza mabilioni mangapi hawatakaa wayafaidi labda kama yamepatikana kwa jasho na bidii halisi!