Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
viongozi wa TEC wachunguzwe kimwili na kiroho,Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Hakuna utamaduni huo. CCM ni ya waislam wa pwani ndio maana.Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Watanzania wanalia na Serikali ya CCM kwasababu ya udhalimu wake, sio kwasababu kiongozi wake mkuu ni muislamu. Serikali imeumiza viongozi wengi (na wanachama wa kawaida) wa vyama vya upinzani in a variety of ways (all with impunity)!Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Ficha upumbavu wako, hilo kanisa lako halikuhusika na mambo ya uhuru, tena kanisa ndiyo haikutaka nchi kupata uhuru kipindi hicho mapdre na maaskofu wengi walikuwa wazungu. Wakati wa kutafuta uhuru Nyerere ht hakuwa na nguvu usomi na uwezo wake kiuongozi ndio ulimbeba. Wazee wengi waliohusika kudai uhuru walikuwa waislam, leo unakuja kupotosha eti kanisa katoliki? Acha uwongo bwanamdogo.Kwanza ,Nyerere hakudai uhuru kanisa katolic nchini ndio lilithibitisha kwamba Tanganyika inaweza kujitawala baadae ndo Nyerere akatengenezewa njia kanisa halikudai uhuru WA Tanganyika ili yawe hayatunayoyaona
Dr slaa hajawahi fukuzwa labda hujui chochote
Atakayeamua km Lissu kafanya uhaini au la ni mahakama tuliza makalio. Serikali ina uwezo na wajibu wa kumweka yeyote mpk kizuizini ikimwona anahatarisha amani, shukuruni huyo amepelekwa mahakamani. Mnatumia vibaya uhuru mliopewa na serikali mmesahau mlikotoka.Watanzania wanalia na Serikali ya CCM kwasababu ya udhalimu wake, sio kwasababu kiongozi wake mkuu ni muislamu. Serikali imeumiza viongozi wengi (na wanachama wa kawaida) wa vyama vya upinzani in a variety of ways (all with impunity)!
Kwa akili yako ya kawaida (achilia mbali ya udaktari, kama ipo), Lissu (kwa mfano) amefanya uhaini gani? Kudai political reforms zitakazowezesha chaguzi zetu kuwa huru na za haki sio uhaini. Needless to say, “No Reforms, No Elections” ni official position ya CHADEMA. Kumkamata Lissu hakujabadilisha chochote. Viongozi wengine wa CHADEMA (na wafuasi wa kawaida wa CHADEMA) wanaendeleza madai yale yale yaliyompatia Lissu kesi ya uhaini.
Huu sio wakati wa kucheza the Religion (R) card. Kama wewe ni muislamu, kumbuka, muislamu wa kweli ni mcha Mungu na hawezi kutetea udhalimu wa Serikali hata kama Serikali hiyo inaongozwa na muislamu!
TEC haiangalii nani amesema nini. Huwa inatoa nyaraka kulingana na hali halisi ya wakati wanaoona inafaa. TEC ilitoa wito kupitia waraka wake kuwataka watu wachukue tahafhari ya ugonjwa wa Covid19 ambao ulikuwa unapingana na msimamo wa serikali ya awamu ya tano ya JPM ambaye ni muumini wao. TEC hawakurudi nyuma licha ya JPM kuchukizwa na jambo lile (na aliwahi kuonyesha hivyo alipopewa nafasi ya kutoa salamu kanisani pale Parokia ya St. Peter's, Oysterbay).Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri.
Wewe ni mpumbavu kama mlivyojaa waoumbavuu huko CCM. TEC mbona walimsema Magufuli? Aliyekuwa Mkristo na Mkatoliki mwenzao? Walivyomsema Maguculu ulikuwa wapi kuongea haya punguani wewe? Au ukikuwa hujazaliwa?Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Huna akili kama walivyo na-ustaadhi wengi. Jifunzeni kwa wanaofanya vizuri kwenye uchumi, elimu, afya na siasa. Uislamu umekuwa brand ya vurugu na ugaidi duniani: mnazijua hizo Al Shaabab, Al…, Al Qaeda, Al … Huwa waislamu mnashtuka sana mkiona askofu ameongea na mnaanza kusema sijui amani yetu itakuwa vipi. lakini mara zote hekima za maaskofu zimewazidi akili na kuwaokoa.Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Wewe mjinga tu,kwa hiyo kama Rais Muisilamu mwenzako ana haki ya kuiba kura?Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema serikali haina dini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba dini hizi mbili zina influence (nguvu) kubwa sana kwenye utengamano na amani ya taifa letu.
Ndiyo maana hata kama haiko kwenye maandishi ya kikatiba, mtiririko wa utamaduni wetu ukuu wa nchi umekuwa wa kupokezana kati ya hizi dini kuu mbili. Alianza mkiristo (Nyerere), akafuata muislam (Mwinyi), akaja mkiristo (Mkapa), akafuata muislam (Jakaya), halafu akaja mkiristo (Magufuli) na sasa tuna muislamu (Samia). Na bila shaka awamu ya saba atakuwa mkiristo.
Mtiririko huo haukuja kwa bahati mbaya (coincidence). Ni utamaduni wetu wa kuheshimu nguvu ya dini zetu hizi kwenye ukuu wa nchi na ndiyo uliochangia kwa kiasi kikubwa kwa amani tunayojivunia ya taifa letu. Na mara zote isipokuwa awamu hii dini hizi zimekuwa na utiifu mkubwa kwa mkuu wa nchi na serikali yake. Dini hizi zimekuwa zikituaminisha kuwa mkuu wa nchi ni chaguo la Mwenyezi Mungu na kwa wakristo 'ya Kaisari mpe Kaisari, ya Mungu mpe Mungu'.
Inasikitisha kuona kwamba katika awamu hii ya muislamu, TEC ambayo mtendaji wake mkuu ni ndugu au swaiba mkuu wa kiongozi wa chama kimoja cha siasa anayeutafuta ukuu wa nchi kwa njia ya yote ile ikiwemo ya vurugu, limekuwa likimsakama na kumdharirisha sana mkuu wa nchi na serikali yake. Hotuba wa raisi wa TEC ya Pasaka inaonesha wazi matakwa ya kanisa hili la kuingilia kesi iliyoko mahakamani ya mtuhumiwa wa uvunjifu wa amanj ya nchi yetu ambayo TEC wanaita ni kesi ya watuhumiwa wa kudai haki.
Hotuba/ waraka wa Pasaka ni tofauti sana ule wa Eid El Fitri wa waislam uliojitikita kwenye kudumisha amani. TEC mnakotaka kutupeleka si pa zuri. Huyo katibu mkuu wenu, Dr Kitima, hana tofauti na aliyekuwa kabibu mkuu wenu, Dr Slaa, Mtimueni kama mlivyofanya kwa Slaa akaungane naye kwenye siasa na kuoa.
Huyo naye Shehe mjinga tu anatumika bila kujijua na Uisilamu hausemi hivyoJust compare and contrast haya matamushi ya wakuu wa dini kuu hizi mbili baada ya kipindi cha mafungo:
Kanisa Katoliki
View: https://youtu.be/az_cUKMbR2k?si=Bg6Kh8SaF300Tk29
Waislamu
View: https://youtu.be/PoUlLeJlsMs?si=C1gjbXONym_HBHIa
Unaona huo utofauti?