amani iwe nanyi wana chit-chat

Slave sasa unataka ukatumie njuluku kwa kunywa ulanzi na mbege aise
Ahhh kwa mpango huo sahau watoto wazuri kama Madame B na Preta utakuwa unawasikia tuu kwenye media
Njuluku lazima zitumike mjini kwenye hoteli nzuri na club za uhakika
hahaha Mr Rocky ulanzi ukiukuta ule ulo kaa siku tatu sie tuna uita mkangafu huwa ni zaidi ya bia na ma whisky
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Slave umeona Passion Lady alivyokuruka
We endelea kuwaambia mambo ya ulanzi na mbege kama watakusikiliza
Arabela pesa mpango mzima bana bila hiyo hakuna heshima mjini
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Slave sasa unataka ukatumie njuluku kwa kunywa ulanzi na mbege aise
Ahhh kwa mpango huo sahau watoto wazuri kama Madame B na Preta utakuwa unawasikia tuu kwenye media
Njuluku lazima zitumike mjini kwenye hoteli nzuri na club za uhakika

Tena Bora umwambie kbs huyo Slave..........
Pesa matumizi yako mjini..............kijijini zitashuka thamani tu

Slave akina Madame B na wenzake akina Preta na Passion Lady wamezoea vitu vilivyopimwa either kwenye chupa au glass vitu vya whisky au wine au bia sio huo ulanzi wako ambao watakuuliza nembo ya TBS au taarifa za mkemia mkuu kama ni salama.
Mr Rocky mwambie huyooooooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…