wewe Passion Lady nikiwa sina hatutafutani kosa usikie ninazo ndo tunaanza kugandana kama gundi.
wewe Passion Lady nikiwa sina hatutafutani kosa usikie ninazo ndo tunaanza kugandana kama gundi.
unasema............????Hakopesheki huyu Slave credit rating according to synovate ni zero point zero,mwache tu aachike kwa Evelyn Salt
Kopi: Erickb52........ naomba namba ya Evelyn Salt
Darling darling nyiiiiiiiiingi vitendo vichache,zalishaneni ndo nijue mnapendana,umesikia Passion Lady
kwani ile tabia uloambukizwa na Vin dieasel ulisha iacha???......eti BishangaNasema hiviiiiiii nataka kumpigia simu nichat naye Evelyn Salt
Talalalila talan talan...
swadakta Zion Daughter asante sanaAmani kwako pia Slave .Endelea kutafuta kwani mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe....tumia na akili lkn
kumbe
stevoh
ndo dia wako eeee??
mheshimiwa Ruttashobolwa hayakuhusu hayo ni yetu wana ndoaHabari yako
Mwl Evelyn Salt ina maa huko kuna beach?