Uchaguzi 2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

Wao kazi yao nikufanya sabotage kwa wapinza kuwatumia vijana wa CCM'by doing so they create haterage'
Ni kweli kwani kuna taarifa kuwa Waliomdhalilisha Mlinzi wa Esther Matiko wa Jimbo la Tarime Mjini na wale waliomshambulia Catherine wa Jimbo la Seringeti ni Makada wa CCM waliovalia sare za Jeshi la Polisi.

Na inasemekana pia wengi wa askari watakao kuwa kwenye vituo vya kupigia kura tar. 28/10 ni hao hao kwa maigizo ya Jeshi la Polisi.

Wapinzani hasa sisi CHADEMA na ACT Wazalendo tuweni makini mno kuliko kipindi kingine chochote.
 
Hicho ni kitu cha A town. Utalinganisha na wakuokotwa jalalani?
 
Msihofu upinzani mlishauuwa kwa kuwafungia shughuli zao halali,na kupitia manyanyaso na kuwanyima kusikika katika media,laleni usingizi.
 
Usiogope, CCM tuna mbinu nyingi za kushinda haijalishi kampeni manager wa wapinzani ni akina nani?
.
Nyie macho na masikio mmelekeza kwenye mbeleko mlizonazo japo nyingine zinazidi kuuimarisha upinzani kwa kukosa maarifa .
 

Tafakari, chukua hatua, “Haki elimu”
 
wameonekana kwenye video clip hii inamaana polisi yeyeto atakaye ingia kituoni ni gaidi. CCM hawana akili maana wana 'alert' kabla ya tarehe 28-10-2020' jibu nikwamba kulinda kura ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…