Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
Jamani Amanda Poshy tangu ni post ina maana hujasoma au ndo kiburi?! Nakupenda we mdada jamani mwaga manyanga huko uliko mwenzio nateseka. Dah! MUNGU fundi
KanakujaMkuu ungetuwekea na kapicha basi kwa sisi tusiomjua
Mwenzio natesekaAmand ndo nani jamani?? Popote ulipo Amanda njoo msikilize chalie yetu bado robo saa tu...
Mwenzio nateseka
Pouwa cecyNenda instagram utamkuta live
NjooUnahela,??
Kwani mimi ndio Amanda??? Mleta mada akiwa na hela tu. Humkosi, maana wale na hela Kama wamezaliwa BankNjoo
mkuu hebu nipe iyo tecnic rahiisi uliyoitumia na mimi nikafanye yangu kwa yule binti wa mtaa wasabaHii tecnic niliitumia sana kwa Mpenzi wangu FaizaFoxy...ilinigharimu sana kwa miaka miwili kwani alihisi namtania
Hatimaye nikaja kutumia mbinu rahiiisi na kufanikiwa kummiliki.
Kila nikimkumbusha huwa anacheka kweli.
Haya Mapenzi bana.
Ndo wewe mkuu? namii nipate kukujua tuUnahela,??