Amakweli tobo lachoo linaona mengi..!

Amakweli tobo lachoo linaona mengi..!

Faru12

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
391
Reaction score
235
Walicho sema wahenga wala hawajakoseya... Tundu la choo linaona Mengi. Muwe na usiku mwema popote mlipo.
FB_IMG_15523264638540052.jpeg
 
Tatizo hela kijana... Kakojowe ukalale, kesho shule.
Madomo zege mnababaika mitandaoni kama mapimbi. Huo muda unaotumia kujitutumua kupost haya makalio si ungeenda kupiga mistari yako uchwara hapo!? Huna hela??
 
Tatizo hela kijana... Kakojowe ukalale, kesho shule.
Mimi nilishamaliza shule nyakati za mkoloni nikapata best grades, nikafaulu na kufuzu.

Ninyi watoto mnaonuka maziwa hata shule tu hamkwenda. Maana zile "shule" zenu za kata kimsingi sio shule, isipokuwa ni taasisi za kufundisha na kujaza ujinga.
 
Kafirw huko, acha kuparamiya Uzi za watu...
Mimi nilishamaliza shule nyakati za mkoloni nikapata best grades, nikafaulu na kufuzu.

Ninyi watoto mnaonuka maziwa hata shule tu hamkwenda. Maana zile "shule" zenu za kata kimsingi sio shule, isipokuwa ni taasisi za kufundisha na kujaza ujinga.
 
Naunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya 5 na maendeleo hayana vyama
 
Mimi nilishamaliza shule nyakati za mkoloni nikapata best grades, nikafaulu na kufuzu.

Ninyi watoto mnaonuka maziwa hata shule tu hamkwenda. Maana zile "shule" zenu za kata kimsingi sio shule, isipokuwa ni taasisi za kufundisha na kujaza ujinga.
Kuna shoga flani huwa anapondea vya wenzie sana,sio mmoja wala wawili....

Sasa naanza ku experience kuwa mashoga wengi sana huwa wanatabia za kudharau shida za wenzao na kuwaona kama wametaka vile.

Mkuu nakuomba achana na hizo tabia hapo juu,hizo tabia hutakiwi kuwa nazo mtu kama wewe.

Mwanaume unaanzaje kuandika maneno hayo ya nyodo nyodo na kupondea wenzako...

Huu ni ushauri ambao hata mimi nimeuchukua na kuuzingatia.
 
Bora nawewe umeliona hilo kamanda, mtu sijuwi katoka wapi, anaanza kuponda Nyuzi za wengine. Hapa ni jukwaa la picha, picture yoyote unaweza ukaweka ukasheya na wengine...
 
Na siku tobo la choo likiamua litoe siri zetu tutakimbiana kutwa
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Umeona ilo mkuu, niatari...

Back
Top Bottom