Amakweli kuwa MWANAJESHI kazi!!!!

Amakweli kuwa MWANAJESHI kazi!!!!

Umenikumbusha wimbo aisee:

"Kazi za majeshi we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala) X2

ukiruka kichura we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)

ukipiga push up we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)

ukibeba dunia we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)

ukikwepa ndege we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)


ukipigwa fatiki we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)


ukipigwa CB we (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala)


aeeeee (gangamala)
Ni lazima ugangamale (gangamala) 2"
 
Mkuu Mentor acha tu, hizi kazi ni wito.
PolisiapewakichaponaMwanamama.JPG
CC: Madame B
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nita-introduce hayo mazoezi ya kupitiwa na kifaru juu pale Mgulani
 
hivi karibu nitajiunga na jeshi lakini sitadumu sana ni miaka kama minne tu natoka niombeeni nifanikiwe kujiunga nao..
 
Back
Top Bottom