Zlatanmasoud
Member
- Dec 19, 2010
- 71
- 15
Wadau wa JF niko bandarini Zanzibar. Kuna abiria wengi sana wanaotaka kwenda Pemba. Kama kawaida chombo ni kimoja tu na chenyewe ni kichakavu. Hivi ni kweli Serikali imeshindwa kubuni njia za kutatua Kero hiiiiii?