Ama kweli Sikio la Kufa Halisikii Dawa!!!!!!!!

Zlatanmasoud

Member
Dec 19, 2010
71
15
Wadau wa JF niko bandarini Zanzibar. Kuna abiria wengi sana wanaotaka kwenda Pemba. Kama kawaida chombo ni kimoja tu na chenyewe ni kichakavu. Hivi ni kweli Serikali imeshindwa kubuni njia za kutatua Kero hiiiiii?
 
akili za ccm duh! noma kura yako moja tu! inakuumbua miaka minne mbele kaz ipo
 
Kosa kubwa walilolifanya CUF ni kuungana na CCM. Sasa CCM imepata sababu, kwenye kila anguko lao, watasema tulishirikiana na CUF
 
Hapa swala si CUF wala CCM, Nchi hii na muungano huu hauna sera endelevu hamna anayejua nini kifanyike kwa wakati gani na kwe fedha zipi. Rushwa ni watu na si chama, ndicho kinachotumaliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom