Ama kweli Sikio la Kufa Halisikii Dawa!!!!!!!!

Ama kweli Sikio la Kufa Halisikii Dawa!!!!!!!!

Zlatanmasoud

Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
71
Reaction score
16
Wadau wa JF niko bandarini Zanzibar. Kuna abiria wengi sana wanaotaka kwenda Pemba. Kama kawaida chombo ni kimoja tu na chenyewe ni kichakavu. Hivi ni kweli Serikali imeshindwa kubuni njia za kutatua Kero hiiiiii?
 
akili za ccm duh! noma kura yako moja tu! inakuumbua miaka minne mbele kaz ipo
 
Wadau msigeneralize , si wotw waloitillia kura CCm
<br />
<br />
Hahahaha! Menichekesha na kiswahili chako hapa! Ila umeongea point mkuu! Uchakachuaji ndo unaotumaliza sie inocents!
 
Kosa kubwa walilolifanya CUF ni kuungana na CCM. Sasa CCM imepata sababu, kwenye kila anguko lao, watasema tulishirikiana na CUF
 
kama ndio hivyo tutegemee maafa mengine.
 
Hapa swala si CUF wala CCM, Nchi hii na muungano huu hauna sera endelevu hamna anayejua nini kifanyike kwa wakati gani na kwe fedha zipi. Rushwa ni watu na si chama, ndicho kinachotumaliza.
 
Back
Top Bottom