Ama kweli Pesa ni kilainishi

Umeuziwa K kimasihara!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Je haujagundua kwanini alikutafuta?

Je uligundua kwa nini alikubali kumlala kirahisi kuliko kumsukuma mlevi tena kavu kavu bila hata kupima vvu?

Je ulivyomlala, uliendelea kumpenda?

Je mawasiliano baada ya zoezi hilo yaliimarika?

Je unaelewa nini kuhusu msamiati "gold digger"

Kabla ya kujibu hayo maswali ya msingi, nachelea kukueleza kuwa vijana wa sasa mmeharibiwa sana na mitandao katika kukabiliana na wanawake ili kuanzisha mahusiano.

Unamtongoza mwanamke, anakufokea halafu unamkimbia mazima!

Hivi haujiulizi: "kwanini matunda matamu yana miiba?"

Je hiyo miiba inazuia yasiliwe?

Kijana, unampenda msichana kutaka awe mkeo halafu unataka awe mlaini, yaani "maharage ya mbeya"!

Hapa sioni cha maana zaidi ya kupromote umalaya uliopitiliza.
 
Umewaza kwa kutulia sana mkuu.
Ulichokisema ndicho.
Nadhani huyu kijana ni mchanga sana kwenye "planet" ya malavidavi!
 
Picha yake maana hizo tabia ulizozibainisha ni kama demu wangu aliyenitoroka hivi karibuni akidai kaenda kuona ndugu zake na hajasema wapi.
 
Machoko unawataka wewe!🀣
Straight unawataka wewe!🀣
3some unazitaka wewe!🀣
Huogopi mikosi mkuu?🀣
Hizo ni madaa tu mimi ni mchangiaji tu....

Eeeh! Kumbe ulikua doria! Mungu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sitachangia tena mada za ajabu promise 😰😰😰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…