Ama kweli ndoa ndoano

Kila siku tunaimba hapa JF #KATAANDOA
Acha avune alichokimbilia.
#KATAANDOA #NDOA_NI_KWA-WANAWAKE-NA WANAUME-WAJINGA
 
Na kumtandika makofi anasubiri nini.

Kuna wanawake bila kuwazabua akili haiwakai sawa.
Kwnye ndoa kuna mambo matatu lazima ujue:-

1.Kuna kuoa
2.Kuna kuolewa
3.Kuna kuoana

Sasa jamaa etu apo yeye kaolewa....
 
Kila mtu anqpewa wa kufanana nae, rafiki yako alipewa wa kufanana nae, na kama sio wa kufanana nae basi alikurupuka kwenye suala zima la kuoa hakufanya uchaguzi sahihi, labda alivutiwa na mwonekano wa nje bila kuchunguza mwonekano na utu wa ndani
 
Tupe uzoefu wako ktk hili wewe ultumia njia gani kujiridhisha kwamba uliyenaye ni mtu sahihi , maana wengi wanacheza kamali kubahatisha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tunapokuwa tunawaambia mwanamke usimuoneshee hela ili akukubali haya huwa ndio matokeo yake. Tafteni wanawake wanaowapenda mkiwa hamna kitu ili hata mkifanikiwa pamoja kunakuwa na element ya upendo.

Wanawake matapeli hawapendagi wanaume wasio na kitu. Ukiwa na hela utapapatikiwa kama mfalme siku zikikata ndio utaona rangi zake halisi. Mwanamke akiwa anakupenda hata ukifulia hawezi kubali udhalilike.
 
Kila mtu anqpewa wa kufanana nae, rafiki yako alipewa wa kufanana nae, na kama sio wa kufanana nae basi alikurupuka kwenye suala zima la kuoa hakufanya uchaguzi sahihi, labda alivutiwa na mwonekano wa nje bila kuchunguza mwonekano na utu wa ndani
Utu ndio kila kitu, tushaongea sana sasa wacha waendelee kuoa matako huku wakidhani maisha huwa ni kitonga milele daima.🀣 Oh siwezi kuoa mwanamke wa kawaida bora nioe mzuri tutarekebishana.
 
Mkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
Heeeeh ulimrudia tena.?...πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ€¦πŸ€¦
 
Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
Haya ndio tulikuwa tunabishana asubuhi.
 
🀣 Eeh ukiishiwa mtaji ndio songombingo huwa haziishi πŸ˜€ hamna rangi utaacha kuiona. Utakuwa safe ukiwa na guarantee kuwa umeoa mwanamke ambaye anakuhitaji kwenye maisha yake kiukweli. Sio ambaye wewe ndio unatumia nguvu nyingi awepo kwenye maisha yako na wengi hili huwa tunalijua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…