Ama kweli ndoa ndoano

Ndoa ya mkulima ipo vip1πŸ˜…
 
Mkuu ningetamani kujua hasa mkasa wako ulikuwaje na mwisho wake
 
Sanduku la Ndoa

Watu wengi hufunga ndoa wakiwa na imani potofu kwamba ndoa ni sanduku zuri lililojaa vitu vyote walivyotamani: urafiki, mpenzi, ukaribu n.k. Ukweli ni kwamba ndoa mwanzoni ni sanduku tupu. Lazima uweke kitu ndani kabla ya kutoa chochote nje. Hakuna mapenzi kwenye ndoa. Upendo upo ndani ya watu. Na watu huweka upendo katika ndoa. Hakuna mapenzi katika ndoa. Unapaswa kuiingiza kwenye ndoa yako. Wanandoa lazima wajifunze sanaa na kuunda mazoea ya kutoa, kupenda, kutumikia, kusifu kujaza sanduku. Ikiwa utatoa zaidi ya uliyoweka, sanduku litakuwa tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
we jamaa umezingua sana.. sema tutengenezee uzi wa hii story insonekan ina madini sana
 
Mwambie ampe talaka,atakuja kufa huko mbele

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mwambia jamaa yako asifeli kwa kufanya yafuatayo
1 . Aache kujiona dhaifu ndo anachochea moto(hapa kuna nguvu anaitoa bila kufahamu)
2 . Hata kama hana pesa kwa sasa ATAMBUE YEYE NI KICHWA CHA FAMILIA apambane mwanamke yupo chini tu.
3 . Hawa wanawake baadhi [wapumbavu] ukionesha udhaifu kdg tu lazima washike usukani asiruhusu hicho kitu(rejea 1)
4 . Aanze kujinenea mema iwe dozi asubuhi mapema na kabla ya kulala awapo na utulivu wa akili.
5 . Asibague kazi kwa sasa na azidishe ubunifu ili amudu majukumu ya familia ambayo kwa sasa yawezekana mke wake ndo anawajibika.
6 . Akae kibusara azungumze na mkewe ikibidi hawausishe wazazi wao kwani hakuna kitu kibaya na kinachovunja moyo kama mke wako,mwandani wako kukupinga. Dah! inavunja moyo mno pale unapotarajia tulizo hupati jamaa apambane.
kwa sasa akianza na haya itamrudisha njiani...
 
Kwa nn mkulima mkuu?? 🀣
 
Ukiona hivyo jua ana mwanaume mwingine pembeni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…