Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
- Thread starter
-
- #201
Katika yote hapa nakupa asilimia elfu mojaUpendo ni hisia ila kiini cha upendo ndio kita determine hisia hizo zitaisha lini. Kama kiini ni pesa basi tambua siku pesa zikiisha zitaondoka na ile hisia. Kama chanzo ni umaarufu basi tambua siku umaarufu wa mwanaume ukiisha ndio itakuwa mwisho wa hisia. Kama kiini cha upendo ni utu wa mtu basi jua hautakaa uishe unless utu wa mtu umebadilika.
Theres always a spark that ignites the affection between two souls. Grave mistake ndoa nyingi za sikuhizi upendo wake umeshikiliwa na ajira ya mume na pesa za michongo anazopiga ofisini. Ikitokea hela hizo zimekata basi penzi linakata na migogoro kuanza straight away.
Acha tuwaombee (kidumu chama cha kataa ndoa)Rafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Acha tuwaombee (kidumu chama cha kataa ndoa)"CHAKANDO"
Wanasema "bora nioe mwenhe chura akili tutatumia zangu"Utu ndio kila kitu, tushaongea sana sasa wacha waendelee kuoa matako huku wakidhani maisha huwa ni kitonga milele daima.π€£ Oh siwezi kuoa mwanamke wa kawaida bora nioe mzuri tutarekebishana.
Wakishapata ndoa,kwao Haina thamani Tena wanaanza jitahada ya kuibomoa ndoa ikishabomoka wanaanza kulia lia Tena kwa mitume na manabii wakikanyagishwa mafuta ya urejesho wa ndoa
Watu mna misemoWanasema "bora nioe mwenhe chura akili tutatumia zangu"
Sio wanawake wote bhanaππ€π π€£Wanawake wana dharau sana kama mume ameyumba kiuchumi
You nailed it bro! Maelezo yako yanafikirisha sana na ndio hali halisi ilivyoBig noo , jamaa yako hajakosa hela , amepungukiwa tuu Kwa kiwango ambacho huyo slayqeen wake kinamtoa kwenye mudi, mwanamke akikupenda acha kabisa , atakutia moyo Sana na atafanya kila liwezalo uinuke...na kabla ya kuoa wanaume wote huwa tunapitia kwenye uamuz wa makundi hayo mawili , demu unayemfukuzia na demu anayekupenda , mara nyingi huwa tunaangukia Kwa demu unayemfukuzia na kumtosa anayekupenda , shughuli huanza ukiishiwa mtaji
Usioe au kuolewa na mtu kwa kuangalia mambo ya nje ie sura, umbile,sijui elimu, au hali yake ya uchumi, ingawa sikatai kuna preference au features ambazo kila mtu anazipenda lakini ni muhimu kuangalia utu, background ya muhusika especially aina ya familia alnayotoka na malezi aliyopewa, historia ya familia yao na imani yakeUtu ndio kila kitu, tushaongea sana sasa wacha waendelee kuoa matako huku wakidhani maisha huwa ni kitonga milele daima.π€£ Oh siwezi kuoa mwanamke wa kawaida bora nioe mzuri tutarekebishana.
Wanasemaga wanaume humu JF mkuu
Kwamba?. π πHaya ndio tulikuwa tunabishana asubuhi.
Wakishapata ndoa,kwao Haina thamani Tena wanaanza jitahada ya kuibomoa ndoa ikishabomoka wanaanza kulia lia Tena kwa mitume na manabii wakikanyagishwa mafuta ya urejesho wa ndoa
Ndio wanaoweka mitume na manabii mjini kwa ujinga wao wa mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe.
Ushauri wangu usioe mwanamke anayefanya kazi utanishukuru badae
π€£ Ndio misemo ya vijana wa kileoWanasema "bora nioe mwenhe chura akili tutatumia zangu"
Kenge maji ww π hamna mtu anaomba kufilisika maisha kama bahari tu kuna mda inachafukaJitahidini msifilisike bwana we, mnatulaumu bure tu.