Ama kweli ndoa itakua ndoano!!

Ama kweli ndoa itakua ndoano!!

Na kwann zisidumu jaman? Wapendana na kuelewana ndo maana wakafunga pingu za maisha au sio..
 
Mimi nahisi hakuna ndoano yoyote hapo. Upendo tu ndio utatawala ndoa yao.
 
vilivyooana si hivi unavyoviona kwa nje vyenyewe vipo ndaaani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom