Ama kweli Mbowe na Slaa ni matapeli wa siasa

Ama kweli Mbowe na Slaa ni matapeli wa siasa

Status
Not open for further replies.
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.[/QUOT

mara zote unatakiwa kufikiri kabla yaa kuropoka maana humu jamvini kuna watu makini pia.alafu ni vema ukaelewa hao wazee kama mrema na cheyo walikwisha kuwa cheap politicians wa ccm,

ninamaanisha wako pale kama sehemu ya kupokea kiinua mgongo baada ya kununuliwa na ccm kama wewe ulivyonunuliwa pole sana kwa kutojitambua.:lying:
 
CDM is dynamic, na ndiyo inavyotakiwa iwe kwa chama makini - juzi jzui mmeshangilia sana wakati wa mgogoro wao - sasa kwa hili la katiba wameshawakamata!!

kwa sasa ku-deal na mbowe na DR.Slaa ni kupoteza muda wenu, UKAWA mpango mzima - jaribuni na huko tuone kama kweli nyie ni vidume!!

Mkuu, sioni cha ajabu sana kwa Mbowe na Slaa kuwa ndani ya UKAWA, kwani hawana athari yoyote, kwa sababu wameshawajua kuwa ni wasanii tu.
 
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.

Mimi sijakuelewa, kwa hiyo ulitaka Ukawa ilipoanzishwa, Chadema wajitoe?
 
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.[/QUOT

mara zote unatakiwa kufikiri kabla yaa kuropoka maana humu jamvini kuna watu makini pia.alafu ni vema ukaelewa hao wazee kama mrema na cheyo walikwisha kuwa cheap politicians wa ccm,

ninamaanisha wako pale kama sehemu ya kupokea kiinua mgongo baada ya kununuliwa na ccm kama wewe ulivyonunuliwa pole sana kwa kutojitambua.:lying:

Mkuu ndio tatizo lenu nyie Pro Mbowe, mtu akiwa na msimamo tofauti na Mh Mbowe basi kwenu nyinyi kaishanunuliwa! Kwani lazima mtu akubaliane na Mbowe? Kwani ye nani hasa mpaka wapinzani wote wamsujudie? Acheni kuabudu binadamu.
 
Mkuu, sioni cha ajabu sana kwa Mbowe na Slaa kuwa ndani ya UKAWA, kwani hawana athari yoyote, kwa sababu wameshawajua kuwa ni wasanii tu.
nasikia mmemwangukia msajili wa vyama awasaidie kuidhibiti UKAWA.
 
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.
Ni matapeli wa kufa mtu ndio maana walimtapeli mama yako mpaka akakuzaa wewe
 
Mkuu badala ya kujibu kwa hoja unaandika "nonsense"?! Au ndiyo kutuonyesha unajua kizungu...!!
kizungungu naweza ndio,kuna watu wengine wanashabikia kitu hadi wanajisahau wanchoongea,mtu anasema bora anaeiba kuliko fisadi,akimaanisha bora chadema wanaiba kuliko ccm ni fisadi,sasa ndo nini hii?
NONSENSE
 
Kwa mwenye akili ya kawaida sana lazima atajua chadema ni matapeli,walitoka bungeni ili waje kwa wananchi wawaelekeze yanayotokea bungeni,ingawaje wao wananchi wanaona kinachoendelea,walipofika kwa wananchi wamesahau primary ajenda yao wameingiza mada ya kutaka uraisi,sasa unataka uraisi wakati katiba inayokupa nafasi ya kugombea uraisi unaacha kuijadili,huo urais utapata kupitia nini? Au ukawa wamelizika na katiba ya zamani? Sasa wakieendelea kutakaa kuingia kwenye mjadala wa katiba,wao ccm watapitisha katiba inayosema vyama vya upinzani haviruhusiwi kugombea urais mpaka wawe na bajeti inayoweza kuhudumia taifa kwa miaka mitatu.
 
Mkuu, hata lililowazi hulioni? Ama kweli kupenda kubaya hata chongo huita kengeza! Kati ya mimi na Mbowe mchumia tumbo ni nani hasa! Yaani Mbowe anavyohaha kuwania mali mpaka anakuwa kama mtoto mdogo mara kasusa hiki mara kile ili mradi atimize azma yake ya kupata mali na madaraka. We umeona mweyewe Mbowe anaahidi kutoa hadi rushwa ya kuwapa nafasi za Uwaziri kivuli UKAWA ili awachote wamteue awa mgombea urais! Hii ni hatari kuwa na kiongozi tapeli namna hii mkuu, fikiri vizuri nakusihi mkuu.

mkuu kuna hili ambalo wengi hawalifahamu na kulichambua na baya zaidi wanachama wa chadema wamepigwa upofu na mbowe,kabla ya 2010,huyo bwana mkubwa aliposoma upepo alibaini kugombea urais siyo deal kwa kuwa asingweza kufanya vizuri hivyo mkakati ni ubunge.Hivyo akashawishiwa Dr Slaa ambaye kupitia bunge alikuwa ametengeneza jina vya kutosha.Dr Slaa ni kweli na hilo halina upinzani katika uchaguzi mkuu wa 2010 alifanya kazi kubwa sana kwa kubadilisha upepo wa kisiasa.Sasa bwana mkubwa mwenye chadema kwa mtazamo wake hali inaonekana ni nzuri 2015,je unamtoaje katika reli ya kugombea urais Dr Slaa ? Hapo ndipo msubiri kila aina ya move ama filamu,kuanzia ukawa na mengine mengi yatakayojitokeza yakiwemo kwa 2015 kwa kuwa wapiga kura wengi ni vijana basi mgombea urais lazima awe kijana.
 
mimi kila siku nasema CHADEMA na CCM hote matapeli wa hongo kwa wananchi tena afazali ccm kuliko chadema unaweza ukaliwa na mbu mchana utapeli wameweka mbele sana
 
mimi kila siku nasema CHADEMA na CCM hote matapeli wa hongo kwa wananchi tena afazali ccm kuliko chadema unaweza ukaliwa na mbu mchana utapeli wameweka mbele sana

CCM si matapeli kwani ndo tuliowakabidhi dhamana ya kutuongoza. Matapeli ni hili lichama la kichagga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom