Ama kweli Mbowe na Slaa ni matapeli wa siasa

Status
Not open for further replies.

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.
 
Mbona hawa kwa utapeli wanafahamika mapema sana,sote twawajua kwa huu utapeli wao kwenye taifa hili.
 
Heri matapeli kuliko mafisadi, waongo na wauza ndovu
 
mtatokwa povu sana.mtakona kwa strategy zenu mbovu!UKAWA for life!
 
Matapeli ni nyie mliotutapeli rasilimali za nje hii,
Tapel ni ww na huna adabu kwasababu mama yake alipokuzaa ww alikuzalia choon ndo maana huna adabu,
Tapel na mnafki ni ww ulieiza utu wako kwa kuwatetea ccm na hapo ulipo umenak ww tu kuuzwa, na utauzwa kwl
 
Mmekimbia thread ya VUTA-NKUVUTE mmekuja kujitoa ufahamu huku
 
Last edited by a moderator:
UKAWA imebadilisha malengo ya muungano wao. Sasa hawapiganii katiba tena ila wanataka "kukomboa nchi" palipo na CHADEMA utapeli kwa wananchi ni kawaida. CHADEMA wanadhani sisi watanzania ni wajinga.
 
CDM is dynamic, na ndiyo inavyotakiwa iwe kwa chama makini - juzi jzui mmeshangilia sana wakati wa mgogoro wao - sasa kwa hili la katiba wameshawakamata!!

kwa sasa ku-deal na mbowe na DR.Slaa ni kupoteza muda wenu, UKAWA mpango mzima - jaribuni na huko tuone kama kweli nyie ni vidume!!
 
Walipoingia bungeni mara baada ya uchaguzi mkuu, walipojiona wamepata wabunge wa kuridhisha kidogo, walikataa kuunda baraza la upinzani la mawaziri pamoja na CUF na vyama vingine vyote. Sasa wameona kwamba wameporomoka ki siasa baada ya kuleta ubaguzi wa kufukuza wale wenye mawazo tofauti na Mbowe, wameona wajiunge na UKAWA si kwa lengo la kupata katiba ya wananchi kama walivyodai, bali sasa wamekuja ni huu utapeli mpya wa kujifanya kwamba Mbowe atavunja baraza lake na kuliunda upya, akishirikisha UKAWA na eti atawaacha MREMA, CHEYO na wale ambao hawajawasapoti! Hivi huyu Mbowe anatufanya wa TZ hatuna akili? Huu si ni utapeli mpya! Mods msiunganishe na pls msiufute uzi hii watu wachangie bila matusi.

Kwani wewe una akili?ungekuwa na akili usingekuwa mchumia tumbo.ungekuwa bega kwa bega na wananchi kama walivyo mbowe na slaa.
 
UKAWA imebadilisha malengo ya muungano wao. Sasa hawapiganii katiba tena ila wanataka "kukomboa nchi" palipo na CHADEMA utapeli kwa wananchi ni kawaida. CHADEMA wanadhani sisi watanzania ni wajinga.

Ebo! kati ya chedema ccm nani wezi?ccm ni majambazi makubwa na manyanyaji makubwa.wanawanyonya sana wsnanchi halafu wewe unaongea utumbo gani?
 
mi nawashangaa sana watu wanaowashabikia mbowe na slaa...enyi wagalatia, nani amewaloga?
 
M4C daima ndio imesha zikwa. Haita chukua muda tutaisahau CDM pia.
 
Ebo! kati ya chedema ccm nani wezi?ccm ni majambazi makubwa na manyanyaji makubwa.wanawanyonya sana wsnanchi halafu wewe unaongea utumbo gani?

dah! Sijui umekunywa gongo kiasi gani, namna unavyowaka!
 
Kwani wewe una akili?ungekuwa na akili usingekuwa mchumia tumbo.ungekuwa bega kwa bega na wananchi kama walivyo mbowe na slaa.

Mkuu, hata lililowazi hulioni? Ama kweli kupenda kubaya hata chongo huita kengeza! Kati ya mimi na Mbowe mchumia tumbo ni nani hasa! Yaani Mbowe anavyohaha kuwania mali mpaka anakuwa kama mtoto mdogo mara kasusa hiki mara kile ili mradi atimize azma yake ya kupata mali na madaraka. We umeona mweyewe Mbowe anaahidi kutoa hadi rushwa ya kuwapa nafasi za Uwaziri kivuli UKAWA ili awachote wamteue awa mgombea urais! Hii ni hatari kuwa na kiongozi tapeli namna hii mkuu, fikiri vizuri nakusihi mkuu.
 
Mbona hawa kwa utapeli wanafahamika mapema sana,sote twawajua kwa huu utapeli wao kwenye taifa hili.

Ingia ndani ya nafsi yako halafu uje uione hii hoja yako.Wezi wa mali za umma,raslimali za Taifa,wawekezaji uchwara,wanyama wetu,Tembo wanauawa na majangiri wanajulikana lakini wanachwa,wakishughulikiwa uchumi wa nchi utayumba,Twiga wanapanda ndege kwenda ughaibuni Serikali yetu sikivu ilikuwa usingizini,madawa ya kulevya waingizaji,madrug lord wanajulikana lakini wakiguswa nchi itapata mshtuko na inaweza kwenda ICU,mh!Hebu fikiria UTAIFA kwanza haya mengine ni propoganda tu,kwenye ukweli iache nafsi yako isemee na siyo kingine.

Mumeo/mkeo kama ni mlevi muonye kwa staha kabla haujaingia kwenye familia ya jirani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom